Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Hivi jela zetu sijui kwa nini hakuna huduma ya kuruhusu manzi wako aje mnapewa chumba maalumu unamgegeda mkimaliza anaondoka unaendelea na kifungo chako
Kule kuna vyumba spesho kwenda kukubinya mapumbu,kuponda visigino kwa rungu kama la bezbol, kukuwekea nyaya za umeme kene mti na kuchoneka sindano chini ya kucha.
 
Alieyeenda jela anieleze vizuri
 
Yote uliyosema ni sahihi.Kule ukiwa unafata taratibu huna tatizo kwa wafungwa wenzako wala askari.Ukijifanya umerukwa na akili hujali yatakukuta,et unamsikia mtu mtaani anasema mi mgumu nakujichosha kupiga pushup kwenye sakafu!!.Niwambiye tu wagumu wapo kule kama nakoz basi nundu kama ya ng'ombe si we boya mtaani huku.
 
Si vema kumtaja Mungu kwenye hoja zisizo na mashiko kama hii yako... mbona mwana wake alisema ITAKUWA VIGUMU KWA MATAJIRI KUINGIA KWENYE UFALME WA MUNGU.,

N.b siutetei umaskini lakini namaanisha Mungu hana ubaguzi. hatoi favour on the basis ya umaskini wala utajiri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…