Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Siku hizi jela na mahabusu nyingi zina TV hivyo wanajua uhalisia wa nje ulivyo, tofauti na zamani
 
Wazigua wanatamaa tamaa sana
Ni kweli ila yule tabia za uswahili swahili na mapungufu ya kimakuzi ndio yalinishinda kabisa. Yeye alikua anafanya kazi halafu mi nilikua chuo kipindi icho na alikua amenikata zaidi ya miaka 5 kwa iyo alinitaka kuniweka mfukoni mwake kama simu yake. Mi nilishindwa
 
Kumbe ulikuwa jumbo pack
 
PIA USIMDHAMINI MTU KIRAHISI HATA AKIWA NDUGU YAKO, NILIMDHAMIMI KESI YA ALIKATIA KATOTO THEN MSHTAKIWA AKALALA MBELE MI MWISHOE NDANI! KUJICHOMOA NI KUUZA KAKIWANJA KANGU KA MKOPO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie mambo ya polisi huwa sitakagi ishu nayo kabisa. Kwenda kituoni tu huwaga naona shida.
 
Hahahahah ni noma yani
 
Kuna watu huwa wanadhani Jela ni mahala pa watu waovu tu,hawajui kuwa either uwe muovu au usiwe muovu,use na cheo au usiwe na cheo una probability ya kwenda jela haijalishi utasakiziwa au kwa kutenda.
Ogopa jela kama ukoma.
Kweli mkuu unaweza tembea road ukamgusa mtu na magonjwa yake chini kafa!! Lazma utaenda!!
Au umetupiana maneno na jirani kwa hasira ukamwambia nitakuua Mara asubuhi kafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…