Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
- Thread starter
-
- #121
Sasa wakijua una mtonyo bilioni kadhaa si ndio unaisha.Hawana pesa za kununua UHURU wao.Ukimuona tajiri jela kalichokoza kajiingiza 18 za wenyewe au anakomolewa.
π π π π πTwende zetu mkuu, alafu ujue kile ni chuo japo hawakupi cheti ukihitimu
Mkuu siku natoka askari akanimbia kiutani " usiende waambia habari za huku tutakosa wateja" ππUlivyohitimisha inaonekana yaliyosemwa juu ni machache na yameelezwa kiupole ukilinganisha na uhalisia. Funguka mkuu. Wengine ni watarajiwa
Hata mia tu ukai jela.Sasa wakijua una mtonyo bilioni kadhaa si ndio unaisha.
Jela uko saa yoyote bora umalizane nao kitaa hawa polisi wetu.
Kuna polisi tulisindikizana nikakope elfu 10 kwa majirani nimpe maana vinginevyo alisema naandika fail unaenda lupango.π
Moja wapo ni umasikiniKuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Alajiona ni mjanja.Mkuu siku natoka askari akanimbia kiutani " usiende waambia habari za huku tutakosa wateja" ππ
Na nyie walokole na mambo yenu ya kufikirika. Unashinda kanisani kila siku,maisha magumu. Kila siku unaomba Dua tu, harafu unaenda kuomba kazi kwa mchina,asie enda kanisani,ambaye anatumia mbongo yake kutengeneza kampuni,hili wewe unaeshinda unamuomba "Mungu"upate kazi!Kuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Endelea kudanganywa na manibii wenu awoo nenda jela ya serikali ndyo utajua hujuiKuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Kweli mkuu daaahWahenga wanasema "Ugali ni mtamu lakini sio wa jela"
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ulikuwa muoga, siku hizi kesi za kubambikiziwa chache mno maana DPP, NPS, wamejaribu zifunikaSasa wakijua una mtonyo bilioni kadhaa si ndio unaisha.
Jela uko saa yoyote bora umalizane nao kitaa hawa polisi wetu.
Kuna polisi tulisindikizana nikakope elfu 10 kwa majirani nimpe maana vinginevyo alisema naandika fail unaenda lupango.[emoji16]
Ndo hivyo umaskini tu.Hata mia tu ukai jela.
Hamsini yao,ni chain,kesi bongo ni biashara,ni maisha ya watu.
Sheria ni kwa ajili ya watu masikini
Ndo ujue jela ni muda wowote hasa wengi wao ni vipato vya chini na katiNdo hivyo umaskini tu.
Unapigwa mkono na trafik unasimama anaanza maswali ya ajabu mara kazama kwenye gari muende kituoni.
Kabla hamjafika kashasema huna change hapo nikuachie nirudi kwenye kazi,unampa.
Ukileta ubishi unapelekwa pabaya
Akupeleke kituoni yaaani awapelekee Kazi wengine?Ndo hivyo umaskini tu.
Unapigwa mkono na trafik unasimama anaanza maswali ya ajabu mara kazama kwenye gari muende kituoni.
Kabla hamjafika kashasema huna change hapo nikuachie nirudi kwenye kazi,unampa.
Ukileta ubishi unapelekwa pabaya
Hizo khanga ndo zipiπ€upande wa khanga,
Utakuwa under 18Unajidanganya wewe
Mkuu yule alisema kabisa sikuachii hii kesi yangu, nikikuacha hapa kituoni wengine nikikabidhi shift mtamalizana.Ulikuwa muoga, siku hizi kesi za kubambikiziwa chache mno maana DPP, NPS, wamejaribu zifunika