Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Dah kuna siku nilimkuta pale Palestine hosp anafagia mzee Mramba kwakweli niliishiwa pozi,binafsi nikiona mambo ya polisi lazima tumbo liungulume na nguvu kuisha ila nashukuru Mungu hadi hapa Vimeo vyangu God anavimaliza kibabe
 
Dah kuna siku nilimkuta pale Palestine hosp anafagia mzee Mramba kwakweli niliishiwa pozi,binafsi nikiona mambo ya polisi lazima tumbo liungulume na nguvu kuisha ila nashukuru Mungu hadi hapa Vimeo vyangu God anavimaliza kibabe
Polisi/mahakama si sehemu poa zakupelekana... pakimbie sna
 
Kuna jamaa baada ya kutoka jela alisema ikitokea amefanya kosa tena la kupelekwa huko, atakimbia hata kaa kusubiri yatakayojiri,watamkamata hata ameshafika uganda ila sio kusubiri

Huyu dogo alikaa huko mwezi mmoja tu
Kule hata machizi yameenyokaa hakuna mbabe abadani nakuhakikishia hutamvimbia yeyote kunyooka ni lazma!! 😂😂😂
 
Vipi wale matajiri kama kina Seth na Rugemalira, nasikia hawa huwa wanakaa sehemu zao VIP ambako kidogo ni nafuu, hawachangamani na wengine. Ni kweli!???
 
Siku hapo msimbazi center ilala nakunja kona wale jamaa wa boda na mabunduki yao hawa hapa wanapiga mkono, paki pembeni vp kunani?
"We umetuchomekea siku ya usalamabarabarani, "
hata sijui mi nimekunja kona yangu niendelee na safari.
Hapo nimepaki africenter ikabidi niwashtue "e bwana mi nna kiu tupate japo moja moja huku tukiongea.
Wakavua magwanda zama bar.
Mule kuelewana nikawapa walichotaka, tunatoka wamevaa migwanda yao wako "si tutazuga gari yako ilikua mbovu tunacheck usalama 🤣🤣🤣e bana fungua bonet,check oil nawakasukuma ile gari🤣,
gari chaser ilikua one kick drive automatic haina ubovu wowote service nimefanya full siku 5 tu zimepita
Mind you hapo nimepigwa buku 40 tayari bila kosa,
Sukuma kidogo nikawasha imewaka eeh?
Mimi yaah asante sana maafande.😂😂😂
Bongo nyoso sana full comedy
Huyo Naondoka tunapungiana mkono km hakuna lililotokea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu ibariki Tanzania 🙏
 
Kweli mkuu unaweza sekwa lupango kwa faida ya wengine.

Kugumu kule usithubutu
 
Inspector Babu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…