Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

Daaah mkuu umemaliza kila kitu
 
Hahahaa....! Dah...
 
Hahahahaha hela za riba hahaha oyaaa
 
Hahahaa....! Dah...
Wanasema ukienda ulaya maisha magumu ila ukienda katika balozi za ulaya watu tele kupeleka maombi ya mwenda na Hakuna raia kutoka kwenye hizo nchi kurudi Tanzania.

Nilichojifunza " Watanzania ni viumbe selfish sana"

Pambana mwenyewe mkuu , Nina majamaa kibao nawajua wako ulaya. Wana maisha kutushinda sisi mbali saaaana kwa kufanya kazi za kawaida kabisaaaa. Issue kubwa ni nidhamu ya pesa.

Kama ingekuwa sio privacy ningekuwekea hapa vitu ambavyo amevifanya Huyo rafiki yetu bongo wakati ni msambaza magazeti tu na vikazi vingine vya ambavyo kwa bongo vinaonekana ni vya kijinga.


Kuna rafiki yetu mwingine alienda kusoma Algeria akazamia France mji wa Marseille ,Daaah hivi ninavyokwambia ameshajenga (Real estates) bongo na anapangisha watu ( Sio uswazi )... Kazi anayofanya ni kuokota Vipisi vya sigara kwenye club Kama nne hivi. Issue ni yeye kuaMka saaa kumi na moja kila siku na kusafisha vishungi vya sigara. Anasema ni zoezi lisilozidi masaa mawili.
 
Sasa mimi wangari nashindwa nini kuokota huo uchafu jamani!!hahaaa....ila bas tu ngoja nikomae.
 
Ukute sasa per diem mwenyewe yupo sisi kwa sisi hapo Manzese, Kigogo mwembe Jando, kwa binti Kahenga Luanga au Buza Kwa Lulenge.
It might be broo Basi tu kwavile tuko optimistic ndio maana tunamwamini lkn ukweli ni kwamba mtu humu anaweza kukudanganya vibaya Sana na hata kukuibia ikiwezekana. Nimejaribu kufatilia thread za nyuma za huyu Jamaa anaonekana anamaanisha.
 
Ahsante kwa taarifa... Popote ukikomaa vizuri mambo hua mazuri...
 
Naomba namba yako ya what's up kaka
 
Nahitaji Sana kuchonga na wewe by professional level em tuma namba iyo
 
Sipendi kabisa vijana wa kitanzania na kiafrika wakafie bahari ya mediteranean kwa kukanyagana kuzamia ulaya, mbona wao hawakanyagani kuja huku kwetu. Hii ni kuwajaza vijana fikra za kitumwa kana kwamba hawawezi kupambana kuboresha hali ya mambo kwenye nchi zao, hadi akawe mbeba mabox ya wazungu.....
 

Bongo kwenyewe wasomi mnakimbizana na vyeo vya U-DC na U-DED....besides siyo wote wanaofia baharini. Nimeshawaambia.. bongo unaweza usifie baharini lakini ukafa kwa ajali ya kugongwa na Toyo au bajaji isiyo na bima.....hahahah
 
We naye umeshiba humjui mwenye njaa...Waje wapambane huku kwa kipi sasa? Kilimo tu had uwe na hela ndefu ndo utatusuA...yaani mnavimba utumwa utumwa...tukubali tukatae nchi zetu hivi shida sana...mtu unatafuta leseni unataka kuuza vitu vya kawaida unaambiwa karibia 200k ! Acha watoke mkuu...kama hawana familia potelea pote...legezeni masharti watu wafanye bas watu tuexport hata dagaa basi🥵!
 
Bongo kwenyewe wasomi mnakimbizana na vyeo vya U-DC na U-DED....besides siyo wote wanaofia baharini. Nimeshawaambia.. bongo unaweza usifie baharini lakini ukafa kwa ajali ya kugongwa na Toyo au bajaji isiyo na bima.....hahahah
Yaani huyu jamaa bwana! Achana na ajali..bongo nyoso kila sehemu
 
Next month naenda Germany au Sweden nshatumiwa invitation letter nnayo mfuko wa shati.
Najiandaa kwenda ubalozini nikamdanganye balozi kwamba nna sifa stahiki zote za kwenda majuu na kurudi ila honestly sirudi ng'o. Nikifika naanza kusoma hata cherehani tu.
 
Acha vijana watumikie nchi yao bhana, yaani vijana wanapishana na mzungu na mchina wanaokuja kusomba dhahabu......kijana anakimbilia box alipwe dola 20.....hii mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…