Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Nitapitia Uzi huo Mkuu. Enjoy bhana.Niliweka Uzi wa hatua kwa hatua hadi kufika nikaaambulia matusi na dhihaka.
Hata hivyo kwa hilo sipo tayari, pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitapitia Uzi huo Mkuu. Enjoy bhana.Niliweka Uzi wa hatua kwa hatua hadi kufika nikaaambulia matusi na dhihaka.
Hata hivyo kwa hilo sipo tayari, pole
Ikiwa anadanganya au anasema kweli nn kwako kinakufanya life lisisonge..? Hahaa wanadamuKama upo Norway kweli piga picha mkononi ukiwa umeshika gazeti mojawapo la kila siku la Norway Verden Gang, au Aftenposten😎
Relief mm kama unaweza nishika mkono do the needful!...maisha ya bongo nimechoka etNi kweli mkuu lakini kama ni ubaguzi tunafanyiwa hapa hapa nchini na weusi wenzetu.
Wachagga wanawabagua wasukuma, wahaya wanawabagua wagogo. Ubaguzi hautakaa uishe duniani, vijana tokeni mkatafute maisha aiseee
Mie mwenyeji wangu South Africa nilipomkuta kamkatia bima mbwa nilikata tamaa kabisa kama Tz tutakuja walau kuifikia SAMoja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.
Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.
Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.
Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.
Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].
Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.
Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.
Ikiwa anadanganya au anasema kweli nn kwako kinakufanya life lisisonge..? Hahaa wanadamu
Hebu twende chemba kwa kweliRelief mm kama unaweza nishika mkono do the needful!...maisha ya bongo nimechoka et
🥰Hebu twende chemba kwa kweli
Kwani nimesema kuna shida mama?! Nashangaa tu sasa hivi Stori zimekuwa nyingi. Tena mtu mmoja analeta Stori tano hata watu wakimtimua anafungua uzi mwingine.Uwe muelewa na wwwe. Yeye kama kaenda awamu hii na analeta mrejesho alichoona huko , shida iko wapi?
Kama una issue zako zinakuingizia hela kidogo na umri wako umesogea achana na hayo mawazo. You gonna end up frustrated. Been there done that.Relief mm kama unaweza nishika mkono do the needful!...maisha ya bongo nimechoka et
Ukute sasa per diem mwenyewe yupo sisi kwa sisi hapo Manzese, Kigogo mwembe Jando, kwa binti Kahenga Luanga au Buza Kwa Lulenge.Mkuu tupeane ramani jinsi ya kuingia huko binafsi nna ndoto za kuzamia moja Kati ya Scandinavian nations toka kitambo Mkuu nikiingia huko tu the rest is upon myself coz binafsi ni hastler super so naamini sitakwama Per Diem
Huyu jamaa alianzaga kwenye ile id yake nyingine akiwa ukraine halafu akafika Norway. Alichoharibu akaposti picha za mtu yuko Helsinki finland akisema yuko Norway. Watu humu jamvini wakamshutukizia wakamsambulia nakumuambia hizo picha ni za Finland siyo Norway. Toka siku iyo kaingia mitini. Sasa hivi kaja vingineKwani nimesema kuna shida mama?! Nashangaa tu sasa hivi Stori zimekuwa nyingi. Tena mtu mmoja analeta Stori tano hata watu wakimtimua anafungua uzi mwingine.
Dah!shukrani best! Ila Bongo panachosha!Kama una issue zako zinakuingizia hela kidogo na umri wako umesogea achana na hayo mawazo. You gonna end up frustrated. Been there done that.
He hayo makovu yanatibika kweli? Maana miaka 60 imefika bado yanauma.Sasa, jamani utalinganishaje social welfare ya Norway na Tanzania. Mbona bado ndio tunatibu makovu ya adhali za ukoloni? Pia ha viongozi bado Ni kizazi Cha mkoloni tu?
Huko nenda katembee, kutafuta maisha waachie madogo.Dah!shukrani best! Ila Bongo panachosha!
Hahahaha...! Ila lazima niende kwakweli!Huko nenda katembee, kutafuta maisha waachie madogo.
Hahaha [emoji23] uvue shati[emoji1787]Hivi Magufuli alipokua anasema tutembee vifua mbele alikua anamaanisha nini?
Mtajuaje kama yuko Norway?Hivi unaweza ukawa na akili timamu ukafananisha Norway na Tanzania!??
Duh...kumbe una akili level hii mkuu????aiseTotoz vipi zinapatikana kirahisi?