Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #81
Keko usingepaweza Mwachiluwi pale kila mtu bondia hivyo ngumi mkononi
But keko ipi ndugu maana kuna sehemu ustaarabu upo maeneo ya magereza Saccos kuelekea kule karibu na chuo cha DUCE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yalaaaah huyo kweli Cheti chake kina lamination
[emoji23][emoji23]So mwana hakutoa jibu n Kwann
Ulienda kishua[emoji23][emoji23] dah wewe acha tu nilitamani kupiga mtu hila nikatulia
😂😂😂 Aiseh hao ni balaa sana.[emoji23][emoji23][emoji23] ww acha tu af hadi mtoto wake mswahili sipendi mtoto anaecheza singeli sasa mtoto wake anacheza singeli bala mpaka nikataman kumpiga
Ulienda kishua
Mitaa imetukuza. Migomigo stand up!
[emoji23][emoji23][emoji23] Aiseh hao ni balaa sana.
Hapana tunaishi kawaida tu kama watanzania wengine!!!Sema watu wasiojua maisha na watu wenye viburi vya mafanikio wanawaona watu wa uswazi kama watu wa hali ya chini saana katika nyanja zote!!!Huwezi amini kwa mfano mimi binafsi kipato changu nawazidi asilimia 90% ya washikaji na masistaduu wanaonidiss nakaa mbagala!!!!Wao wamepanga sinza,kinondoni,mikocheni!!!Afu mimi nina mjengo chamazi!!!Mkuu Nelson Jacob lushasi itabidi nifike huko nifanye survey maana huko kutakuwa funika.
Sasa kaka mwachi social investigation unaenda bila mwaliko!!!Si utaonekana asikari kanzu kaka?????😎😎😎Nilichomekea zangu nikaenda kwenye social investigation duh ilinibidi niwe mpole
Sasa kaka mwachi social investigation unaenda bila mwaliko!!!Si utaonekana asikari kanzu kaka?????[emoji41][emoji41][emoji41]
Anhaaa hapo ni keko _ toroli kwa vibaka wa kariakoo wanapotunza mali za wizi zilizoibiwa kwa wahindiKeko hii ya kalibia na chuo cha veta
Anhaaa hapo ni keko _ toroli kwa vibaka wa kariakoo wanapotunza mali za wizi zilizoibiwa kwa wahindi
Uswazi raha
Ukiwa na buku bee unashiba vizuri kabisa
MbandeNa ww upo wapi
Hapana [emoji23][emoji23][emoji23] ww upo wap kwani
Hivi hizi mambo huwa ni kweli ?Kama kijana mpambananaji mwenye focus kaa mbali na wanawake wana mikosi Sana haya Mambo Nina ushahidi nayo uswahilini uchawi unatisha.