Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

Ni motizamo tu, Dunia inahitaji watu wa namna zote ili kila Kundi lipate kuwepo katika USO wa Dunia hii.

Kumbuka hata Tajiri anawategemea maskini ili Mambo yake yanyooke
 
Nakubaliana na wewe, nilichoandika sio extreme, nime-balance kwenye mada niliyoiandika!
 
Back
Top Bottom