Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe, nilichoandika sio extreme, nime-balance kwenye mada niliyoiandika!Ni motizamo tu, Dunia inahitaji watu wa namna zote ili kila Kundi lipate kuwepo katika USO wa Dunia hii.
Kumbuka hata Tajiri anawategemea maskini ili Mambo yake yanyooke