Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

Unaelewa maana ya ushahidi beyond reasonable doubts?
Wewe utakuwa umeumbwa kichwa chini miguu juu
 
Unaelewa maana ya ushahidi beyond reasonable doubts?
Wewe utakuwa umeumbwa kichwa chini miguu juu
Una hukumu yeyote unaandaa kwa nchi hizo au unajifaragua tu.

Nimekutajia matakataka mnayoyafanya.

Kifo ni kifo tu, alisema Muuaji in Chief wakati anaelezea kuhusu kifo cha Ali Kibao kilichofanywa ndani ya maeneo ya Jeshi Ununio.

Hujajibu swali: huo ubongo wako bado unakuwezesha kuvuka barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…