Pre GE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kinana ana umri gani Hadi atoe ushauri wenye mashiko?
Tangu enzi za mzee Mwinyi mnakumbuka Kinana alikua waziri mdogo wa ulinzi, hivi hajachoka tu? Ikumbukwe mzee Mwinyi ana miaka 29 tangu aachie ngazi. Huyu Kinana ana kinamna Hani hataki kustaafu?
 
Ndio mwenye chama huyo
 
Wa Wacha tuone TumainiEl atafanyaje🤣
 
Si karejesha demokrasia nchini? Atakataa huo ushauri wa kidikteta.😁.
Wana CCM Ndio wanaotaka iwe hivyo na hakuna mwana CCM yeyote atakayechukua Fomu ya Urais,maana kila mmoja anajuwa kuwa utamaduni wa CCM Ni lazima mtu amalizie muhula wake wa pili.
 
Kuna makundi mawili katika Mkutano wa Ruangwa na kwa kweli mikutano ya CCM kwa miaka 60.

Kundi la kwanza ni la akina Kinana na Majaliwa ''waliokamata visu wakitafuna keki ya Taifa '' bila kizuizi.
Hawajui Bill za umeme, maji, wala bei ya dagaa na Unga. Wanachojua ni ada za Vijana Havard na Kwingine.
Hawa wangenda Fomu za Urais zifutwe! milele.

Kundi la pili la waliokaa juani wanaishi kwa mtindo wa jana ni nzuri kuliko leo. Wana kapelo ziwakinge jua kali utosini kila uchao. Wanapewa khanga wajisetiri aibu maana hawamudu hata ile ya ndani

Hawafikri kesho ya watoto , wanakimbiza fungu la mchicha wa leo na kufikiri alipo samaki nchanga wa kesho .
Wamedumaa na kuvia , faraja yao ni kujigalagaza katika udongo! Hata 'nchanga' anaishi udongoni , lipi geni ?
 
Ondoa ujinga wako hapa .Sisi sote ni watanzania.wewe kama ni lihamiaji haramu nakushauri urejee haraka sana kwenu.lakini sisi watanzania chaguo letu ni Dr Samia Suluhu Hasssan kutuongoza kwa muhula wa pili tena.
Embu ficha mpumbavu wako huko Mimi Mtanzania ila huyu mama urojo big no .
Kama unamkubali ni wewe tu na maupumbavu yako
Usigeneralize eti sisi watànzania ,mjinga sana wewe jamaa halafu utakuwa shoga wewe sio bure
 
Wewe ni lihamiaji haramu .huo ndio ukweli maana hatuna mtanzania mwenye akili kisoda kama yako
 
Huu ubabe sasa. Unachapishaje fomu moja wakati ni demokrasia kila mwana CCM ana haki ya kugombea urais?
 
Bahati nzuri Mungu amewapokonya ndimi na kauli viongozi karibia wote wa CCM.

Mnaishi kwa kudanganyana. Hao wnaoongea hivyo ndo mtakuja kuwaelewa baadaye
 
afu mtu mmoja anaseme ati ndani ya CCM kuna demokrasia.
 
Kazi sanaaa....anaogopa kivuli chake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…