Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Wengi najua hawatoi ushirikiano na wakiingia mikonon mwao rushwa hutembea na kuachiwa huru
 
Katika kitu ambacho Jeshi la Polisi wanakosea kwenye kutoa taarifa hii kusema watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi ina maana hawana uhakika kama wahusika wenyewe. Swala la kibiti ni ligumu sana.
 
Jamani tuwe wakweli ina maana toka waanze kuuwawa hawa Majambazi ya kibiti hakuna hata mmoja aliye hai wote wanauwawa tu!!!Tulitarajia apone hata mmoja ili ahojiwe atuambie nini chanzo na mambo mengine ambayo yangesaidia hata kuwajua wanao wapa misaada ya hali na mali.Lakini hii ya kuambiwa wamekufa wote inatia shaka isije kuwa wanauwawa hata wasio na hatia!!!
 
Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Mkuu wameishafanya hivyo sema hizi ni taarifa za ndani zaidi not for public consuption ila nikupe picha kidogo kwenye kamata kamata zile za mateja wengine huwa wanatoa taarifa nyeti ambazo husaidia kuwakamata majambazi kama haya.Polisi huwa hawakurupuki tu
 
nilipata kuongea na mtu mmoja kutoka maeneo ya jaribu mpakani huko kibiti,inasikitisha sana
 
Jamani tuwe wakweli ina maana toka waanze kuuwawa hawa Majambazi ya kibiti hakuna hata mmoja aliye hai wote wanauwawa tu!!!Tulitarajia apone hata mmoja ili ahojiwe atuambie nini chanzo na mambo mengine ambayo yangesaidia hata kuwajua wanao wapa misaada ya hali na mali.Lakini hii ya kuambiwa wamekufa wote inatia shaka isije kuwa wanauwawa hata wasio na hatia!!!
Wapo mkuu na ndio wanaosaidia kutoa taarifa za kuwapata wengine
 
safi lkn tafazali Sirro anzisha ukumbi wa mazoezi kila kituo,polisi wetu wana vi-mikono vyembamba sio vyakukamata mwizi
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Ni sawa, ila tukubali kuna mazingira hiyo haiwezekani. Unajua hata US ambako ndiyo tuseme haki za binaadamu zilizaliwa, mharifu akishukiwa ana silaha basi huwa hakuna mjadala zaidi ya polisi kukuua tu.
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
, jumble mtu akikuvamia kwako na kutaka kukukata malanga ukiwa na bunduki utaacha kumuunga kwa sababu wewe siyo kazi yako kuhukumu. Askari wakiuawa mnafurahia, je wajibu wa muuaji ni nini? Je yuko huru kuua adui yake bila sheria? Na wewe ni wale feki?
 
Kumbe IGP Siro pia alishiriki kwenye hiyo operation ndiomaana waka fanikiwa...[emoji15] [emoji15]
 
Ina maana majambazi yalikua na bunduki za kufyatulia gas cannisters

Maigizo maigizo
ha ha ha ha a ha hizi gas cannisters hata mimi nimeona kama maigizo ya kova ya zile bunduki za stakishari ha ha ha ha bunduki badala ya kuandikwa namba eti zinajina la stakishari kw kwi kwi kwi kwi kwi
 
kwa nini wanatangaza lakini? magaidi yanapata hasira za kulipa visasi wanapotangazwa wamepigwa.

kwa nini busara isitumike nyie watu?!!
Sasa wasipo tangaza Magufuli na watanzania watajuaje kwamba Siro na vijana wake wanafanya kazi
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiii!!! IGP Siro uko vizuri sana!! kwanza wewe ni mkakamavu hata unavyotembea tu!! Majambazi kwa kweli watafute kazi halali za kufanya otherwise watapukutika kama ugali mdomoni!!! Big up Jeshi la Polisi na Kiongozi wa Oparesheni Kibiti na maeneo yote ambayo awali yalikua shamba la Bibi!!
 
Back
Top Bottom