Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

hili ni Muhimu sana
inauma sana tunazikana tukiwa wadogo nikima ajali za pikipiki zimezoeleka lakini haziondoi uhalisia na maumivu ya kumkosa mtu daima
yani chini ya miaka 25 niwengi wanaondoka na ajali za hizi pikipiki.
Uporaji kunakipindi ulipungua ila kwasasa sijui huu wakuuwa umeanzaje tena, kuna wengine wanatumia dawa wanakupulizia unalala ukiamka ndoushai
 
Kuna jinsi watu hawajali kuhusu Maisha yao kabisa wanawaza tu kufika. ila wizi wa Pikipiki unatulia kwa mufda alafu ghafla wanaibuka tena
 
Mbona kama Macho kacheza huu mchezo,kua huo waya ulikua unasubiri PIKIPIKI yao tu?
Kua hio njia vyombo vingine vya usafiri havipiti?
Kua huo waya specific ulikua wa kunasa PIKIPIKI ya baraka tu?
 
Hapo umeongea,
Honda Paris-Dakar hapo kwenda Kili ni Masaa mawili tu imefika toka Dar.
Pikipiki inaitwa Boxer,Tvs,yoshugi, hyangui,shingsho michina na unapiga nayo long trip huogopi.
Kawahishwa tu hata asingeweza kurudi nayo
 
Tusiingize bangi kwenye haya mambo
 
Hapo umeongea,
Honda Paris-Dakar hapo kwenda Kili ni Masaa mawili tu imefika toka Dar.
Pikipiki inaitwa Boxer,Tvs,yoshugi, hyangui,shingsho michina na unapiga nayo long trip huogopi.
Kawahishwa tu hata asingeweza kurudi nayo
Two Hours kwa barabara hizi hizi kweli?
 
Kifo kikikutaka unakifuata mwenyewe bila shurti, kwanini asafiri na pikipiki, kwanini asafiri usiku?, Anyway poleni na marehemu a rest in peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…