Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

Mbona kama Macho kacheza huu mchezo,kua huo waya ulikua unasubiri PIKIPIKI yao tu?
Kua hio njia vyombo vingine vya usafiri havipiti?
Kua huo waya specific ulikua wa kunasa PIKIPIKI ya baraka tu?
Nimenusa kitu pia hii mpaka uwe intelligence makini ndio unaweza kuelewa hivi hivi ni rahisi sana kuamini
 
Hapo sijajua nikienda msibani nitajua mengi sana mana yote haya ni yale nimepata Huku dsm na ajali imetokea Kilimanjaro. Huyo rafiki yake inabidi baada ya amzishi nikae naye sehemu nimpe Bia kadhaa huku nikimdadisi
Unikaribishe wakati huo naweza kuwa msaada ,ila kaa ujue hata mkimuelewa ila yeye ndiye mshukiwa namba moja na itoshe mimi kusema hakuna asichoelewa kuhusu mauaji ya huyo mtoto
 
Hapo umeongea,
Honda Paris-Dakar hapo kwenda Kili ni Masaa mawili tu imefika toka Dar.
Pikipiki inaitwa Boxer,Tvs,yoshugi, hyangui,shingsho michina na unapiga nayo long trip huogopi.
Kawahishwa tu hata asingeweza kurudi nayo
Huyo hata asinge safiri wangemsondeka tu.
 
Pole, Pikipiki ilikuwa aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…