Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

hivi kweli kulipa 23,000 dar moro unaona hela kubwa? wakati izo mkienda bar mnabwia bia zote kwa siku moja.
 
Wabongo mnapenda vitu vizuri Kwa bei rahisi ndio maana mwendokasi unapata hasara. Hiyo 23000 walioiweka sio bei ya wao kupata faida Mzee.
 
Tumeahirisha majaribio mpk trh 26 march 2025 ili tuitumie km njia ya kampeni wkt wa uchaguzi mkuu

We mzee treni imeondoka Dar na imefika Moro...

Sema ndani kulikuwa na wanahabari wengi lakini behewa tulikaa alikiwepo yule kijana anaitwa Baba Levo sijui, ana makelele kweli...
 
So wanapga majaribio mawili kwa wakati mmoja. Siasa hizi, uchaguzi wa serikali za mtaa na fujo zake. Mwaka kesho sijui watakuja na nini, au watamuiga Ruto na sera yake nyumba bora kwa kila mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haikuwa kwenye top speed, na kulikuwa na misosi kama vile safari ambavyo zitakuwa...

Lakini bado hizi coaches sio kama zile treni za Ulaya ambazo huwa na leather coaches, ila si mbaya...
Kumbe Safari ulimaanisha safari ya tren yenyewe. Dah mimi nilishawaza kitu kingine kabisa
 
Hata ikiwa Bure labda nisiwe na kazi kama baba levo
Watu wana roho ngumu sana, yaani ufanyiwe majaribio na hawa hawa Watz ambao kuna mwaka Daktari alipasua kichwa badala ya mguu πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…