Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

Kitengo hakina weledi kiko kama kijiwe cha uvccm,kazi wanayoweza ni kuhakikisha CCM inaendelea kutawala,kuiba kura,kuteka na kuua wapinzani.
 
Hii mada si ya Mama Samia. Ni madam ya mustakabari wa muda mrefu wa Tanzania. Why do you take it personal?
 
Hii mada si ya Mama Samia. Ni madam ya mustakabari wa muda mrefu wa Tanzania. Why do you take it personal?
Si ndiyo hapo,wakati mambo haya yanafanyika tokea muda....
Jamaa anamshushia mzigo mama
Hahah,naona wabongo hawapendi kujua kiini cha matatizo

Ova
 
Nimesoma uzi


Nikamuona stargomena tax na Mama samia!nikamuona kenya na Ngoro ngoro!

Nikaunganisha dot's

Maana niliyopata ni hii Hapa:-

Kenya inatuhujumu kimkakati Baada ya kujua Kuwa walioteuliwa hawana Brain wa ku deal nao kwenye inteligence!!!Ngoro ngoro inatumika na kenya kutuua kiinteligence!!

TUSUBIRI

Sijajua na paka je wa kule mlimani anatufanyaje kiinteligence!!?

Hatujui
 
Haya mambo yanasikitisha sana, yaani kenya wanatubwekea kama mbwa koko kwenye eneo ambalo ni la kwetu. Si ajabu watataka waingize wanamgambo wawabandike jina la wamasai ili wapambane na serikali.
 
"Na kwa tarifa yako, Uzi huu unawahusu akina nyinyi, watu wajingawajinga k
Mliowekwa kwenye nafasi nyeti! Jitu huna shule halafu kwa sabab babako ananafasi huko juu, basi unapachikwa tuu kwenye nafasi msizostahili, mtu unastahili kuwa mfagia ofsi, eti unapewa ukurugenzi au uwaziri wa Nishati."
Sio tu kuwa hawana shule,hata wale waliopita shule nzuri na kupata madigirii mazuri mazuri kwa GPA nzuri nzuri, bongo zao ni below average kabisa.
Bongo zao haziwezi kuchakata mambo yanayoingia na kutoa products bora zaidi ya kutoa kile kile kilichoingia (GIGO).
 
Na upumbavu wa wananchi unachangia.. nnchi ina wapumbavu weng mno
 
Yaani wewe kujenga nchi na kuiweka nchi sehemu sahihi ni ajira tu basi, mangapi ya hovyo yanaendelea sahivi kwa siri na waziwazi hadi ulaghaike kwa ajira?

Fungua macho na tega masikio, gender ni upuuzi mkubwa sana kwa wenye akili.
 
Kada moja lilisikika likibweka
 
Maisha magumu hivi vitu bei juu tozo kila kona unasema uchumi unapanda kweli?
 
Yaani wewe kujenga nchi na kuiweka nchi sehemu sahihi ni ajira tu basi, mangapi ya hovyo yanaendelea sahivi kwa siri na waziwazi hadi ulaghaike kwa ajira?

Fungua macho na tega masikio, gender ni upuuzi mkubwa sana kwa wenye akili.
Sasa jpm alifanya kitu gani zaidi ya kuua tu watu
 
Sasa jpm alifanya kitu gani zaidi ya kuua tu watu
Hata kama huenda ulikuwa bado mchanga unaweza hats ukasoma Biblia kama unaitumia na ukajua.

Haupo utawala ambao haukuuwa, iwe kwa makusudi ama kwa lazima wafalme wengi waliua

Alikadhalika kuanzia Baba wa Taifa, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Jpm wote wametekeleza mauaji ama kwa makusudi ama kwa lazima. Kwa kifupi sana, hakuna utawala amabo haumwagi damu ..Ama ulitaka kusema hawamu ya sita hainuki damu?

Mama hauwi????? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Awu ya sita haiuwi watu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…