Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

Hayo ya kwako. We jaribu tu kuchokonoa usalama wa nchi. Hutapata mda wa kusimulia. Tatizo mmekariri kila kitu ni CCM.
Yaani interest za kuhakikisha ccm inabakia madarakani kwa namna yoyote ile! ndiyo zimegeuka sasa na kuwa interest za Taifa!! Ok.
 
Mbona wanasema Huwa wanachikuliwa vijana wenye akili akili na watulivu kuanzia wakiwa Shule ya msingi. Labda wale mauvccem ni mainfoma na mikwara tu wenyewe Huwa wanawachora tu.

Wajuvi mtujuze kama yanatuhusu lkn
 
Nimewahi kufanya kazi taasisi moja ya nje,inaongozwa na wazungu,USA,pale Kuna wabongo kibao wameajiliwa,jamaa wanapiga kazi balaa,Wana nidhamu ya kazi ya hari ya juu,hao maboss wakizungu wameweka taratibu za kufata,huoni boss akifokea mfsnyakazi,kila mtu anajua wajibu wake.
Huko serikalini,viongozi ni vilaza,idara zinaongozwa na watu wajinga mjinga mkubwa yupo Ikulu,anateua wajinga,hata akiteua mwenye akili(Kama Balozi Mulamula),hataweza kufanya kazi yake vzr,maana wajinga ni wengi sana,
Wenye akili na wao wanachojali ni ugari wao tu,
Samaki wanakufa mto mara,profesa wa jalalani,anasema samaki wamekufa kwa sbabu ya kula samadi mavi ya ngombe,Kingo za bwawa la tope kutoka mgodini,zinavunjika tope linazagaa kwenye makazi ya watu,li profesa la jalalani,linasema tope halina madhara!!sasa kwanini lilijengewa bwawa la kuhifadhiwa,kama halina madhara kwanini walijenga bwawa,wangeacha tu litiririke kwenda ziwani!!
 
Aiseeeh...
 
Mkuu salute mingi sana
 
Akili kama hii ni mzigo kwa Taifa.
 
Tanzania hamna majasusi, kuna makada tu wa chama ambao wamepewa majukumu makubwa na magumu kuliko uwezo wao ndio maana hata walishindwa kuzuia kiwanda cha General Tyers kisiibiwe na Wakenya

How intelligent are intelligence officials!??

Kwa nchi makini duniani kama China, USA, Russia, Iran, N. Korea, n.k, wengi wao wanaanzi IQ > 120%.
 
Mupo jamani
 
Tanzania is the lost cause.....
Trying to save it is akin to chasing the wind.....
 
Mupo jamani
Bandari zote ziuzwe nasi tukae kusubiri jambo litokee!!!!

Kiongozi akipwaya kutuongoza, na ikithibitika anatupeleka shimoni,

Apumzishwe aje mwingine,

2025 mbali sana.

Sa 100 must go now!!!!!
 
Bandari zote ziuzwe nasi tukae kusubiri jambo litokee!!!!

Kiongozi akipwaya kutuongoza, na ikithibitika anatupeleka shimoni,

Apumzishwe aje mwingine,

2025 mbali sana.

Sa 100 must go now!!!!!
Ooh she must go.... Oooh she must go where?

Subiri kwanza sisi machawa tumalize kujenga maghorofa yetu kwa pesa za ufisadi, kisha ndio muanze kusema "sa100 must go" Sasa hivi tunamlinda kwa Hali yoyote ile, wewe unafikiri tutampata lini raisi mwingine anayeturuhusu kuiba kama huyu? Tulia hivyo hivyo kama ulivyo vinginevyo tutakuteka.....

Mama mitano mingine...... 😋😋
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=t7NTqFWGjfA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…