Nimewahi kufanya kazi taasisi moja ya nje,inaongozwa na wazungu,USA,pale Kuna wabongo kibao wameajiliwa,jamaa wanapiga kazi balaa,Wana nidhamu ya kazi ya hari ya juu,hao maboss wakizungu wameweka taratibu za kufata,huoni boss akifokea mfsnyakazi,kila mtu anajua wajibu wake.
Huko serikalini,viongozi ni vilaza,idara zinaongozwa na watu wajinga mjinga mkubwa yupo Ikulu,anateua wajinga,hata akiteua mwenye akili(Kama Balozi Mulamula),hataweza kufanya kazi yake vzr,maana wajinga ni wengi sana,
Wenye akili na wao wanachojali ni ugari wao tu,
Samaki wanakufa mto mara,profesa wa jalalani,anasema samaki wamekufa kwa sbabu ya kula samadi mavi ya ngombe,Kingo za bwawa la tope kutoka mgodini,zinavunjika tope linazagaa kwenye makazi ya watu,li profesa la jalalani,linasema tope halina madhara!!sasa kwanini lilijengewa bwawa la kuhifadhiwa,kama halina madhara kwanini walijenga bwawa,wangeacha tu litiririke kwenda ziwani!!