Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Naombeni kujuzwa huyo binti aliyeuawa (mwandishi wa habari) alikuwa anapose threat gani kwa Ukraine mpaka wakaamua kufanya mission ya kibabe namna hiyo ya kumuua tena kwa bomu!?

Kuna jambo gani ambalo Ukraine walitaka kulizima kwa kumuua huyo bidada
 
Ameshauwawa huyo imetoka hiyo
 
Naombeni kujuzwa huyo binti aliyeuawa (mwandishi wa habari) alikuwa anapose threat gani kwa Ukraine mpaka wakaamua kufanya mission ya kibabe namna hiyo ya kumuua tena kwa bomu!?

Kuna jambo gani ambalo Ukraine walitaka kulizima kwa kumuua huyo bidada
Target alikuwa baba yake ambaye ni Master mind WA Putin kuwa vita vyao ni feasible, Sasa lilikuwa na meeting somewhere, katika kwenda kwenye hiyo safari iliyopangwa kwenda na Binti; baba akapanda Gari ingine tofauti na aliyopangiwa iliyokuwa tayari na bomu
 
Ni vigumu kukubali kuwa Natalya ndiye hitman kwan aliingia Russia July akiwa na mtoto wa miaka 12. Ni kikosi gan kitampeleka Hitman nje ya nchi akiwa na mtoto?
Kama nia ni kumuua baba mtu ilikuwaje apange kwenye ghorofa anakoishi mtoto?
Ilikuwaje kwa haraka sana urussi ikajua each and everything about Natalya....

Hiyo ni internal job yaan Natalya ametumika na Warusi to silance warusi wenye misimamo mikali wanaokosoa Russia kushindwa kuiteka Ukraine yote mpaka leo.

Ultra nationalist Russians wanalilaumu jeshi kutokuonesha viwango walivyotarajia now to silance them wamemla kichwa huyu binti ili kuwafanya wawe na uchaguzi wa maneno wakati wakikosoa utendaji wa jeshi.
Natalya anafanya kazi kwa niaba ya Russia
 
Conspiracy zitaendelea Tu ndani ya Russia kama ilivyo Kwa marekani baada ya hii vita hawalala Kwa Amani kilasiku ugaidi utafanywa kila Kona ya Russia..
Alafu ugaidi unaofanyika ndani ya Russia unafadhaliwa na nchi zote za magharibi tofauti na marekani anayepambana na waarabu kwasababu mwarabu ni Rahisi kudili Naye, kumbuka ugaidi huu unaofanyika Russia upo chini ya mossad, CIA,M16 na mashirika yote ya kijasusi ya magharibi
 
Unadhani Putin ni Kingwendu?
ni zaid ya kingwendu tu , jiulize malengo ya Putin na anachofanya ss hv vinaendana , kwann asingefanya kama anavyofanya mwenzie Ukraine , kuua walengwa tu maana sio warusi wote wanaunga mkono huo uvamiz
 
Hahaha pro Russia wanateseka sana.
Kwanza huu waweza kuwa uzushi yaani wafuatolie hizo footage zote na wasimkamate?
Urusi ni nchi kubwa na focus yao kwa saa ni ndan ya Ukraine maana hawakutegemea hili labda kwa sasa ndo wanaeza jiimalisha zaid , pili usisahau wameona kupitia videi then wakafanya follow so kipind wanafanya yote haya mtuhumiwa alikuwa anajua kbs yatatokea so ingekuwa kituko kuendelea kubakia ndan ya Urusi ,bila kusahau Urusi sio Afrika usafir sio wa kukesha njian , pia huyo mtuhumiwa ana back up kubwa nyuma yake
 
Alisikika akiongea kwa sauti mchambuzi wa mambo ya usalama kutoka bwawa la mavi(Lemara, Arusha).
 
Kama alipitia ukaguzi mkali kabla ya kuingia Russia ina maana bomu kalipata akiwa ndani ya Russia. Ivyo ndani ya Russia kuna mapandikizi ya Ukraine walishirikiana nae kufanikisha mission.
hiki pia watu hawakion
 
Ndugu hakuna cha bure dunia hii,yaa hilo tukio tu ndio apewe yoote hayo?
unahis alitumia penshen yake kufanya yote hayo au unahis magari yanaokotwa ua unahis mabomu yanauzwa bei ya nyanya , au unahis kupata usajili wa plate kwa haraka hivyo ni kama kwenda buza kwa daladala zenu za jero , huo mpango umeandaliwa na wanaojielewa sidhan kama serikali ya ukraine ingeweza yote hayo tena mtuhumiwa katokea kweny nchi member wa NATO ili urusi asiweze kumfuata kiurahisi
 
Unaishi Dunia gani?Huko Israel Miezi michache tu kulikuwa na wimbi la kushambuliwa waisrael Kwa risasi,visu NK!
Ujasusi wao ulikuwa wapi mpaka wapalestina wanaingia na silaha na kuwadhuru?
muyaseme yote haya kweny pray for palestine
 
haya maneno muwe mnayasema kweny pray for palestine
 
Yawezkana ni bosheni imechwa ya mrembo ambae alishafark kitambo ili kupoteza maboyaa...angalia trick alizotumia kweny plate # ndo utajua ni intelligent haswaa
 
ebu angalia mvt za huyo , ana back kubwa sana so kila kitu kimepangwa usidhani maeneo ya wakubwa kama hayo yatakosa cctv na ndio maana karudia kupitia nchi mshirika wa NATO ili iwe vigumu kumfuata , kipind wanafikiria kumfuatalia mdada atakuwa ashatoka nje ya ulaya tyr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…