Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alaf saiz urusi ikizitungua Tanzania tunaweza kukinukisha mpaka warusi wakaomba pooo.
tumedanganywa sana eti urusi jeshi lao hatar kumbe hata jwtz inaweza wagonga vizur
Ameshauwawa huyo imetoka hiyoShirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.
Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya Vovk akiingia Urusi na mtoto wake wa kike (teenager), akiingia pia kwenye jengo alilokuwa akiishi Darya (mwandishi wa habari aliyeuawa), kisha ikimuonesha akiondoa kwa haraka mno mara baada ya bomu kulipuka na kumuua Darya.
Binti huyo muuaji aliingia Urusi July 23 akiwa na gari lenye number plate ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk (ili kukwepa kuchunguzwa zaidi), alipokuwa Urusi akabadili na number plate ya Kazakhstan, nchi rafiki ya Urusi. Baada ya shambulio, siku ya jumapili (19 August) akaondoka Urusi kuelekea Estonia akitumia number plate ya Ukraine. Binti huyo ni askari ktk kikosi cha neo-Nazi Azov Regiment.
Ikumbukwe kuwa Ukraine iliwahi kujitenga haraka haraka na shambulio hilo baada ya kutokea.
====
Target alikuwa baba yake ambaye ni Master mind WA Putin kuwa vita vyao ni feasible, Sasa lilikuwa na meeting somewhere, katika kwenda kwenye hiyo safari iliyopangwa kwenda na Binti; baba akapanda Gari ingine tofauti na aliyopangiwa iliyokuwa tayari na bomuNaombeni kujuzwa huyo binti aliyeuawa (mwandishi wa habari) alikuwa anapose threat gani kwa Ukraine mpaka wakaamua kufanya mission ya kibabe namna hiyo ya kumuua tena kwa bomu!?
Kuna jambo gani ambalo Ukraine walitaka kulizima kwa kumuua huyo bidada
🤣🤣🤣🙌Lingemuondoa Putin ningekesha Bar
FSB wasingemuua kiboya hivyo!Binti mwenyewe hana hata ulinzi,FSB wamuue Kwa bomu?Huyo alikuwa anavutishwa hewa ya sumu!Je nikisema aliuliwa Russians mwenyewe nitakuwa muongo?.........kwamba kwa nafasi ya babaake, magharibi wali collaborate naye, alafu wa Russia wakabaini hilo na kukata kitovu kwa namna Ile.
ni zaid ya kingwendu tu , jiulize malengo ya Putin na anachofanya ss hv vinaendana , kwann asingefanya kama anavyofanya mwenzie Ukraine , kuua walengwa tu maana sio warusi wote wanaunga mkono huo uvamizUnadhani Putin ni Kingwendu?
Urusi ni nchi kubwa na focus yao kwa saa ni ndan ya Ukraine maana hawakutegemea hili labda kwa sasa ndo wanaeza jiimalisha zaid , pili usisahau wameona kupitia videi then wakafanya follow so kipind wanafanya yote haya mtuhumiwa alikuwa anajua kbs yatatokea so ingekuwa kituko kuendelea kubakia ndan ya Urusi ,bila kusahau Urusi sio Afrika usafir sio wa kukesha njian , pia huyo mtuhumiwa ana back up kubwa nyuma yakeHahaha pro Russia wanateseka sana.
Kwanza huu waweza kuwa uzushi yaani wafuatolie hizo footage zote na wasimkamate?
Alisikika akiongea kwa sauti mchambuzi wa mambo ya usalama kutoka bwawa la mavi(Lemara, Arusha).Ni vigumu kukubali kuwa Natalya ndiye hitman kwan aliingia Russia July akiwa na mtoto wa miaka 12. Ni kikosi gan kitampeleka Hitman nje ya nchi akiwa na mtoto?
Kama nia ni kumuua baba mtu ilikuwaje apange kwenye ghorofa anakoishi mtoto?
Ilikuwaje kwa haraka sana urussi ikajua each and everything about Natalya....
Hiyo ni internal job yaan Natalya ametumika na Warusi to silance warusi wenye misimamo mikali wanaokosoa Russia kushindwa kuiteka Ukraine yote mpaka leo.
Ultra nationalist Russians wanalilaumu jeshi kutokuonesha viwango walivyotarajia now to silance them wamemla kichwa huyu binti ili kuwafanya wawe na uchaguzi wa maneno wakati wakikosoa utendaji wa jeshi.
Natalya anafanya kazi kwa niaba ya Russia
hiki pia watu hawakionKama alipitia ukaguzi mkali kabla ya kuingia Russia ina maana bomu kalipata akiwa ndani ya Russia. Ivyo ndani ya Russia kuna mapandikizi ya Ukraine walishirikiana nae kufanikisha mission.
unahis alitumia penshen yake kufanya yote hayo au unahis magari yanaokotwa ua unahis mabomu yanauzwa bei ya nyanya , au unahis kupata usajili wa plate kwa haraka hivyo ni kama kwenda buza kwa daladala zenu za jero , huo mpango umeandaliwa na wanaojielewa sidhan kama serikali ya ukraine ingeweza yote hayo tena mtuhumiwa katokea kweny nchi member wa NATO ili urusi asiweze kumfuata kiurahisiNdugu hakuna cha bure dunia hii,yaa hilo tukio tu ndio apewe yoote hayo?
muyaseme yote haya kweny pray for palestineUnaishi Dunia gani?Huko Israel Miezi michache tu kulikuwa na wimbi la kushambuliwa waisrael Kwa risasi,visu NK!
Ujasusi wao ulikuwa wapi mpaka wapalestina wanaingia na silaha na kuwadhuru?
haya maneno muwe mnayasema kweny pray for palestineJasusi hata akikamatwa inafanywa Siri,anaminywa kende mpaka aseme kila kitu na mwishowe anakuwa neutralized!Huko Iran,wameshakamatwa majasusi wengi tu,Kuna wamarekani na waingereza wameshakamatwa Iran Kwa ujasusi!Sema Huwa wanalipa price kubwa,Tena hao ni wale ambao wamejisikia kutangaza!Vipi wale ambao wanaminywa kimya kimya?
Hata huko Jerusalem na Tell Aviv,wapalestina walishaingia na kuua waisrael!
Yawezkana ni bosheni imechwa ya mrembo ambae alishafark kitambo ili kupoteza maboyaa...angalia trick alizotumia kweny plate # ndo utajua ni intelligent haswaaAngekuwa nyoka,asingeacha trace,hapo ataishi kama digidigi maisha yake yote!Au hata hao waliomtuma wanaweza kummaliza Ili asijepatikana!Hapo Kuna akili?
Binti mwenyewe ni mtangazaji,hana ulinzi!Anauwawa vipi Kwa bomu?Huyo Ilikuwa hata Kwa kisu au poison tu!
Niache kukunyonya mtoto mwny mknd laini na Tait Kama wako?Akisikika
Wakupuliza akijichoma madole na kulamba kinyesi chake asubuhi kabla ya kwenda kwa bwana mpya
ebu angalia mvt za huyo , ana back kubwa sana so kila kitu kimepangwa usidhani maeneo ya wakubwa kama hayo yatakosa cctv na ndio maana karudia kupitia nchi mshirika wa NATO ili iwe vigumu kumfuata , kipind wanafikiria kumfuatalia mdada atakuwa ashatoka nje ya ulaya tyrAngekuwa nyoka,asingeacha trace,hapo ataishi kama digidigi maisha yake yote!Au hata hao waliomtuma wanaweza kummaliza Ili asijepatikana!Hapo Kuna akili?
Binti mwenyewe ni mtangazaji,hana ulinzi!Anauwawa vipi Kwa bomu?Huyo Ilikuwa hata Kwa kisu au poison tu!