Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Just rumors tu, nuke wa head kwa sehem ndogo kama gaza ni overkill. madhara yake yana last life time
Sidhan kama wataruhusiwa
yes of course, na inaweza kusambaa hadi kwenye nchi yao. hawawezi kufanya hivyo, though Netanyau alisema kwamba, hawana mpango kupiga nukes kwasababu wanajali maisha ya raia. sasa hatujui kama raia wakiondoka wote bado atakuwa na huruma hizo.
 
Kwa hali ilivyo hata palestina yenyewe ikae mkao wa tahadhari
 
Mwambie Kwanza Anaweza kukugonga Kichwa
 
Yes nilisikia kamsimamisha huyo waziri!
 
Hii mbinu ya Israel kupora ardhi ya wapalestina nimeipenda sana. Yaani Israel ime-dramatize kuwa raia wake wametekwa na Hamas halafu dunia imeaminishwa ikaamini. Ndipo sasa Israel ikapata uhalalali wa kuwapigia wapalestina
 
HAWATASIKILIZWA KAMWE.
 
hamas wenyewe wamekiri kuteka raia. hii sio drama kwasababu iran amekuwa akikijenga icho kikundi kwa muda mrefu. hakuna drama hapo. ila kwa walichokifanya, ardhi hiyo imeshabebwa ama la haitakaliwa. wote wataenda kujikunyata kule kusini na sidhani kama watakuja kurudia tena kuchokoza israel.
 
HAWATASIKILIZWA KAMWE.
yaani badala ya kusema tuaachia mateka wote ili msitishe vita, wanasema wanaachia 15 kati ya 250. wanafikiri israel atawasikiliza? Netanyau alisema, kukubali kusitisha vita in exchange na mateka ni sawa na kusalenda kwa hamas jambo ambalo hawajajiandaa kulifanya. hilary clinton pia alishauri kwamba kila mwaka wakipigana huwa wanakuja na issue ya mateka, sasahivi ipigwe hadi mwisho manake umekuwa ndio mchezo wao.
 
yes of course, na inaweza kusambaa hadi kwenye nchi yao. hawawezi kufanya hivyo, though Netanyau alisema kwamba, hawana mpango kupiga nukes kwasababu wanajali maisha ya raia. sasa hatujui kama raia wakiondoka wote bado atakuwa na huruma hizo.
Mzee Huruma alishakufa tangu 07/10/2023. Mzee aliyebaki, na yupo fit ni mzee wa Kisago tu na huyo alikuwa ni adui wa mzee Huruma. Ole ni kwa HAMAS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…