dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
huko Africa mmeendekeza ngono, kukomesha nyuchi za wanawake na kumeza ARV tuHebu tupe mchango wako kuhusu majeshi yetu ya Africa,huko hakutusaidii chochote na hata hawakujui ili siku hivyo vimondo vikitua kwetu tujue namna ya kuvizuia
Uwekezaji wa teknolojia jeshini utatumia fedha nyingi za kigeni huku wao wakiwa hawazalishi fedha za kigeniPole
Teknolojia haiepukiki kwenye Majeshi yetu. Kufyeka na kupangisha Fremu/Jimbo za harusi haiwezi kuwa ni mandate ya jeshi
Kwani wewe huko uliko una nini cha maana unachofanya? Umekuwa bilionea kuwashinda waafrika akina No Dewji na Bakheresa na Dangote? Lofa mkubwa wewehuko Africa mmeendekeza ngono, kukomesha nyuchi za wanawake na kumeza ARV tu
ubilionea unakujaje tena hapo ? au kwakuwa saa 5 inakaribia ndugu ?Kwani wewe huko uliko una nini cha maana unachofanya? Unekuwa bilionea kuwashinda waafrika akina No Dewji na Bakheresa na Dangote? Lofa mkubwa wewe
Unashauri vipi sasa mkuu? ndio mada iliyopo tupe mchango wako achana na ya mashariki ya kati na ushabiki maandazi wakati huku kwetu mtoa mada anasema tunavunja tofali tu, wewe unasemaje?huko Africa mmeendekeza ngono, kukomesha nyuchi za wanawake na kumeza ARV tu
huko kwenu bakini na mnachofanya vyema, nacho ni kukomoa nyuchi za wanawake na kumeza njuguUnashauri vipi sasa mkuu? ndio mada iliyopo tupe mchango wako achana na ya mashariki ya kati na ushabiki maandazi wakati huku kwetu mtoa mada anasema tunavunja tofali tu, wewe unasemaje?
Mada imekuzidi uwezo hii,baki kushabikia vita vinavyoendelea huku ukilishwa matango pori na kobazi wenziohuko kwenu bakini na mnachofanya vyema, nacho ni kukomoa nyuchi za wanawake na kumeza njugu
bado dk 14 turushe vimondo, kituo cha kwanza ni HaifaMada imekuzidi uwezo hii,baki kushabikia vita vinavyoendelea huku ukilishwa matango pori na kobazi wenzio
Sikuhizi umekuwa kama kajingamda ni saa 5 usiku wa kurusha vimondo
pakej ya kutosha inakuja, endeleeni kuweka ADs nyuma ya majengo ya kiraia eeh
Basi wakishakupanda hzo yutong vingora mji mzima kila sku ya mungu wanaharaka wao huku wamevaa matrak sutiVita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.
Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.
Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
Na mibegi Mikubwa mgongoniSisi huku ingekuwa tunapambana kuvuka border huko mistuni
Huku tukifosiwa kwenda front lineNa mibegi Mikubwa mgongoni
Hata kula kwa mkono kuko "mumo kwa pale" ingawa siyo lazima.Mleta mada utoto unakusumbua
Jeshi la Ardhini la Askari wa miguu liko pale pale
Hukuona hata Israel ikipigana na Gaza ? Hujaona vita ya urusi na ukraine askari wa ardhini wakipigana vita mistuni ana kwa ana? Lilianza jeshi la angani kurusha makombora halafu likaja la Ardhini .Hilo ardhini huhitaji watu wakakamavu hasa wawezao kupambana kwa kila silaha iwe ngumi
,matofali nk
Unavyoona wanapasua matofali sio tu kuonyesha tu ukakamavu lakini pia kukitoa adui kamrushia tofali kutaka kumpiga nalo aweze kulikabili
Tatzo nyie Vichadema kujiita makamanda wakati hata mgambo hamjawahi kanyaga
Na ule upuuzi wa six weeks za mkesha unaboa sana.Vita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.
Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.
Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
Uongo kaangalie vita ya Urusi na Ukraine wanavyopigana poriniVita vya Siku hizi ni vya kisasa zaidi, maswala ya kutambaa na tumbo kama nyoka yameshapitwa na wakati