Hapo hakuna mshindi bali kudhoofishana kijeshi na kiuchumi.1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa).
2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa.
3. Bali wenzetu wasomi wabobezi wa mifumo ya kidigitali missile inarushwa mtu akiwa ofisini inaelekezwa chumbani kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi (anakutwa wamejifungia wanaume wawili tu)?
Punyeto imemuharibu akiliSikuhizi umekuwa kama kajinga
Endeleeni kutambaa na tumbo kama nyokaUongo kaangalie vita ya Urusi na Ukraine wanavyopigana porini
Mjinga weweEndeleeni kutambaa na tumbo kama nyoka
Kivita sio lazima komandoo atungue drone aweza kwenda lipua kituo zinakohifandhiwa au kurukiaUwanja wa vita unaleta ukomandoo, Utatungua drones kwa ukamondoo ulionao au teknolojia uliyonayo?
Hapa mkuu unataka kusema nini? ๐๐๐(anakutwa wamejifungia wanaume wawili tu)?
Acha kuleta ufafanuzi uchwara.Kivita sio lazima komandoo atungue drone aweza kwenda lipua kituo zinakohifandhiwa au kurukia
Usikariri mambo ya kivita ya Jeshi kuwa kazi ya jeshi la kisasa ni kutungua tu drones
Usione wanajeshi wanafunzwa vitu vya manual sio teknolojia tu
Kuna mahali komandoo atatakiwa kwenda physically kulipua sio kusubiria zipate nafasi hata ya kuruka
Vita gani unaongelea wewe? Vita za teknolijia juu hutumika nchi zilizoendelea zikipigana zenyewe kwa zenyewe .Sababu uchumi wao huweza himili hizo gharama za teknolojiaAcha kuleta ufafanuzi uchwara.
Huwezi kushinda vita kwa idadi ya makomandoo ulionao bali kwa teknolojia uliyonayo.
Peleka ufafanuzi uchwara huko.Vita gani unaongelea wewe? Vita za teknolijia juu hutumika nchi zilizoendelea zikipigana zenyewe kwa zenyewe .Sababu uchumi wao huweza himili hizo gharama za teknolojia
Kombora moja mfano la masafa marefu bei yake la chini kabisa ni dollar milioni moja sawa na shilingi trilioni moja za Tanzania .Tena la kawaida sana ya juu yanafika hadi dola milioni 10 ambazo ni sawa na hela za Tanzania shilingi trioni 10
Unaongea kama bwege Kwa uchumi upi wa kuhimili hizo gharama.Kwa hizi vita za maskini kupigana sijui na jirani maskini mnayepakana naye kwa nchi za kiafrika?
Vita ya maskini kwa maskini hawahitaji teknolojia kubwa
Sisi majeshi yetu hayajipangi kupigana na Israel wala Marekani huo mpango haupo
Lakini sisi waafrika lwa waafrika tunawezana
Usi copy tu na ku paste kwa kuangalia vita za nchi zenye uchumi mkubwa ukadhani waweza copy kile walichonacho na wewe ukawa nacho .Huna pesa hizo za kununua hiyo teknolojia
Teknolojia hazigawiwi bure kama kondomu.Unanunua .Zinauzwa.
Tatizo ni CCMVita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.
Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.
Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
JWTZ Walienda kama polisi jeshi sio kupiganaPeleka ufafanuzi uchwara huko.
M23 wa hapo Congo waliwatoa jasho JWTZ.
Halafu unakuja kujitapa hapa na maneno uchwara.
Wewe ndio bwege usiyefikiri sawasawa.
Silaha walizotumia zilikuwa duni na zilikuwa walixopewa na umoja wa Mataifa sio za JWTZ usichanganye masomo.Peleka ufafanuzi uchwara huko.
M23 wa hapo Congo waliwatoa jasho JWTZ.
Halafu unakuja kujitapa hapa na maneno uchwara.
Wewe ndio bwege usiyefikiri sawasawa.
Uko sahihi huyo mleta mada ana uelewa mdogo sana mambo ya vitaHapo hakuna mshindi bali kudhoofishana kijeshi na kiuchumi.
Bila military Advance huwezi kukalia ardhi ya adui.
Makomandoo Yoso wanywa bia za Msaada (bure).Uwanja wa vita unaleta ukomandoo, Utatungua drones kwa ukamondoo ulionao au teknolojia uliyonayo?
Unaleta siasa na ufafanuzi uchwara tu.Silaha walizotumia zilikuwa duni na zilikuwa walixopewa na umoja wa Mataifa sio za JWTZ usichanganye masomo.
Tanzania haikutumia silaha zake .Zote walipewa na umoja wa mataifa
Kule hamna wapasua matofali kwa kichwa. Ni mwendo wa buttons Tu. No mercy! IDF wamelipua television ya Taifa live mtangazaji anasoma taarifa ya habariUko sahihi huyo mleta mada ana uelewa mdogo sana mambo ya vita
Waite vyovyote majina yote ila wakikwambia usiingie barabarani kuandamana ukaingia ndio utawajua kama kamanda yoso au niniMakonandoo Yoso
Sasa jeshi linakuwepo kuwapiga Raia wake? Duuh Veggies mnatia hurumaWaite vyovyote majina yote ila wakikwambia usiingie barabarani kuandamana ukaingia ndio utawajua kama kamanda yoso au nini
Huwezi ku wa define kwenye keyboard
Subiri usitii sheria bila shuruti ndio utawajua kama ni makamanda yoso au la
Miaka hiyo hata wao ilikua hivo hivo; wenzetu wametoka huko, wapo kwenye dunia yaoSisi tulianzia Mutukula hadi Kampala dadeki ๐ผ
Mara utaona wanafagilishwa na mkuu wa wilaya kisa maandamano ya raia wema ๐๐...Vita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.
Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.
Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!