Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

Sasa jeshi linakuwepo kuwapiga Raia wake? Duuh Veggies mnatia huruma
Nakuhakikishia ikitokea vita hata Na rwanda tu hapo pamoja na udogo wa nchi yao ila tutachakazwa. Sisi Majeshi yetu yamejaza watu incompetence wao kiguvu tu kubeba kilo 100+ ndo ushujaa na kutumia ndege chakavu. Polepole alisema huwezi kua askari eti huna kadi ya CCM siasa siasa
 
Sisi makomandoo wetu wa jwtz wakienda huko Irani watakuwa wanadaka makombora na kuyavunjavunja kama wanavyopasua matofali
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹
 
IDF wanamtungua Mkuu wa Majeshi wa Iran chumbani mwake wakiwa ofisini Tel Aviv
Kweli jamaa wako mbali saana,nilisikia mahala chombo cha habari, wanasema kwasasa kuna drones zenye AI ndani yake,hizo ni habari balaa,zinapewa tu maelekezo kwenda kulipua mahala kwa ustadi mkubwa sana,,zipo za kujilipua kama bomu na zipo za kupiga na kurudi zilikotoka,dizaini hizo ni kama zile zilitumiwa na Ukraine ndani ya urusi,zikaharibu ndege vita za urusi.,hizo AI ndani yake ni mbadala wa GPS,hivyo ni vigumu kugundulika kwa adui.
 
Umeandika upuuzi tofali kuvunja na modern Army za sikuizi mbona hamna logic, au unaenda kwenye Maji Maji war
 
Kumwagilia bustani
Kwa hiyo askari kusipokuwa na vita anatakiwa akeshe bar na kulala nyumbani? Akisubiri vita?

Kusipokuwa na vita hufanya shughuli za kiraia .Hiyo humsaidia pia mfano umeteka nchi adui kasalimu amri inabidi usaidiane na raia shughuli zao za kiraia kama bustani nk wajue kujitegemea nk

Bunduki inakuwa ha8hitajiki tena

Askari wa Jeshi sio bunduki tu
 
Umeandika upuuzi tofali kuvunja na modern Army za sikuizi mbona hamna logic, au unaenda kwenye Maji Maji war
Hakuna logic? Mjinga wewe ingia mtaani wahuni wakutupie tofali tuone kitakochokukuta

Sababu mtaani hawana risasi hasa mijini hata mawe hamna dawa yako wewe kupigwa kipande cha tofali tu na wahuni mtaani ndio utajua logic
 
Bustani ndo shughuli za kiraia? Bora hata wangefanya matunzo ya kutengeneza codes au tatizo Ngumbaru?
 
Bustani ndo shughuli za kiraia? Bora hata wangefanya matunzo ya kutengeneza codes au tatizo Ngumbaru?
Codes raia watakula codes mfano hata umepindua nchi jeshi likashika raia wanahitaji codes? Kuishi ?
 
Hakuna logic? Mjinga wewe ingia mtaani wahuni wakutupie tofali tuone kitakochokukuta

Sababu mtaani hawana risasi hasa mijini hata mawe hamna dawa yako wewe kupigwa kipande cha tofali tu na wahuni mtaani ndio utajua logic
Athari za kujaza lasaba na form four failed kwenye majeshi ndio hii sasa, mtu anatetea kuvunja matofali ndio ubora wa jeshi aisee tunasafari ndefu
 
Siku hz, hatuna jeshi, vijana wa, jwatz hawana tofauti na vibaka, au panyaroad na ubabe wao, kila kitu kwao ni maguvu tu, hata sehemu ya busara, wao, wanataka wananchi wawaogope kisa wamevaa Kombat! So, stupid,
Yaani nilishangaa kuona luten mzima,anaandaa press conference, kutoa taarifa ya kuandaa mission ya kunyanganya watu mavazi yanayofanana na ya jeshi! Wale kenge kwa umaskini wao, wakapita, kwenye mitumba, wana chukua mabegi,
Wanajibinafshia wao,
Mtu aliyekuwa kilaza secondary akapata div 4 ya mwisho, ndio anakuwa maana jeshi, siku moja nipo dar, asubuh naona wanafanya mazoezi ya kutembea alfajiri, pale makongo na kawe, wanaleta jam tu, unawaangalia unaona hakuna tofauti Yao na mgambo wa jiji,
Hv kutembea kutoka jkt kawe mpaka kituo cha kwa mwalimu, kuna leta tija gani katika stamina! So fucking stupid
 
Dollar million 1 sio sh trillion 1,ni sawa na tsh.sh bilioni 2.6
 
Tununue YUTONG au missiles za kutosha kuwafyatua CHADEMA wakizingua?
 
Sisi kwenye maonyesho tunabeba mabegi makubwa na kuchapana fimbo na muda mwingine kupasuliana matofali kifuani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..... inawezekana sisi siyo dunia ya tatu labda ya nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…