Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna siku ubabe utaisha huu. Alafu wakistaafu wanakimbilia kutunga vitabu kujutia matendo Yao.

Ila Mungu yupo. Ipo siku yatakwisha tu
 
Hiyo strategy waitumie mara ya mwisho, ipo siku hao wafanya usafi wa dharura wa siku hiyo iliyoingiliana watageuka kuwa waunga makundi! How will you order them to retreat? Ikumbukwe raia ndie mtu pekee mwenye vyeo vyote!
 
Dawa ya moto ni maji, tukutane barabarani na mifagio tuunge mkono juhudi. Kwa wingi wa mamilioni tufagie barabara. Tutachagua wapi tufanye usafi, tusipangiwe wapi tufanye usafi
 
Hii nchi ngumu sana, Na nikiona kijana yeyote anajiita UVCCM huwa napatwa ghadhabu maana napata picha kwamba hakuna tumaini vizazi vyote.
 
Wanasheria wapeleke jiji mahakamani zile kampuni za taka zinapopewa pesa za walipa kodi zinafanya kazi gani na kwanini jiji bado wanawalipa kodi zetu kama hawatimizi majukumu yao.
 
Taarifa ya aina huwa inapokelewa kwa mikono miwili na policcm. Maana hakuna raha wanajisikia kama hii ya kutumiwa na ccm kuhujumu harakati za upinzani nchini.
 
Aibu ya Taifa hii
 
Erythrocyte mkanye mumeo Mbowe ni bora siku hiyo umeweke ndani ukimpa uroda
Uamuzi wa RC Chalamila kuagiza wanajeshi kufagia barabara ili kuwatisha Chadema wasiandamane unastahili kulaaniwa na kila mpenda utawala bora na demokrasia. Ni hatua ya woga/cowardice na aibu. Wanajeshi wetu wasitumiwe kulinda udikteta wa CCM hasa kwa jambo jepesi la kudai mfumo bora wa uchaguzi. Shame on you Chalamila. The world in watching.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…