BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
unashangilia ujinga?Safi sana, tutajua mwanaume nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unashangilia ujinga?Safi sana, tutajua mwanaume nani
Unashangilia sana, naona ndio furaha yako kuuSasa wanajeshi 5000 na polisi 3000 hiyo Dar itakuwa ni Vita au Ni usafi[emoji28][emoji28]
Amesema wanakuja kufanya usafi au kuzuia maandamano ya Chadema.?Uamuzi wa RC Chalamila kuagiza wanajeshi kufagia barabara ili kuwatisha Chadema wasiandamane unastahili kulaaniwa na kila mpenda utawala bora na demokrasia. Ni hatua ya woga/cowardice na aibu. Wanajeshi wetu wasitumiwe kulinda udikteta wa CCM hasa kwa jambo jepesi la kudai mfumo bora wa uchaguzi. Shame on you Chalamila. The world in watching.
Kufanya usafi ni ujinga.?unashangilia ujinga?
Watakuwa wamekubali kutumika kisiasa.Usafi gani wa JWTZ askari 5000 na Polisi askari 3000,..
Hebu niambie nchi gani inayopeleka Brigedi 5 kwenye usafi..
Au hujui maswala ya kijeshi nikufundishe
Huyo Chalamila ni kichaa mwingine katika orodha ya vichaa. Basi hapo anajiona ametumia akili sana. Ndipo uwezo wake wa akili ulipoishia.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Vp vijana wakijiita bavicha.?Hii nchi ngumu sana, Na nikiona kijana yeyote anajiita UVCCM huwa napatwa ghadhabu maana napata picha kwamba hakuna tumaini vizazi vyote.
Mbowe kasema maandamamo trh 24, huyu chalamila kasema usafi utafanywa na jeshi trh 23 na 24, haya bwana hao ndio ccm ,wenye kuelewa mchezo ngoja tukae kimyaMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Yaani mwanajeshi unamshusha hadi mfagizi, Kwa hiyo majukumu Yao ya siku, na hao wanausafi watapumzika!?Sasa wanajeshi 5000 na polisi 3000 hiyo Dar itakuwa ni Vita au Ni usafi😅😅
Unayajua majukumu/mamlaka ya mkuu wa mkoa?hii nchi watu ni walevi wa madaraka
sasa chalamila ana uwezo wa kuamrisha jeshi wafanye usafi wakuu emu nipeni muongozo hapo
Mtanikumbuka style 😂Huyo Chalamila ni kivhaa mwingine katika orodha ya vichaa. Basi hapo anajiona ametumia akili sana. Ndipo uwezo wake wa akili ulipoishia.
Naona umeweka picha ya ubongo wa Chamila. Ni mkubwa, lakini ni takataka.Heshima ni kitu cha bure...
Nimeshangaa sana aiseehii nchi watu ni walevi wa madaraka
sasa chalamila ana uwezo wa kuamrisha jeshi wafanye usafi wakuu emu nipeni muongozo hapo
Chalamila kawapa Promo ya bure ChademaMbowe kasema maandamamo trh 24, huyu chalamila kasema usafi utafanywa na jeshi trh 23 na 24, haya bwana hao ndio ccm ,wenye kuelewa mchezo ngoja tukae kimya
Huyo RC ni mpuuzi. Rais alifanya kosa kubwa sana kumrudisha kwenye uongozi. Huyu hafai hata kuwa meneji wa kilabu ya kuuzia ulanzi.Uamuzi wa RC Chalamila kuagiza wanajeshi kufagia barabara ili kuwatisha Chadema wasiandamane unastahili kulaaniwa na kila mpenda utawala bora na demokrasia. Ni hatua ya woga/cowardice na aibu. Wanajeshi wetu wasitumiwe kulinda udikteta wa CCM hasa kwa jambo jepesi la kudai mfumo bora wa uchaguzi. Shame on you Chalamila. The world in watching.
Utakufa vibaya mno mkuu,mama yake anahusikaje eti mkuu? Kuna watu mnajisahau mwahisi mtaishi daima....kama wewe ni mwanaume be a man ...kama ni mwanamke kumbuka nawe ni mamaShika ufagio wewe na Mama yako.
Mkuu Kwanini unapenda matusi?Takataka ni zile nyeg3 mbovu alivomwagiwa mama ako akapata mimba akakuzaa laana