DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #121
Hapana mkuu!Unashangilia sana, naona ndio furaha yako kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu!Unashangilia sana, naona ndio furaha yako kuu
Namjibu mtu kadiri alivokujaNimeshangaa kwanini unamuita mtu ni Mke wa Mbowe! Kumbe alikutukana?
😅😅🤣🤣🤣MKUU WA MKOA PALE KMR BUCHA KUTAKUWA NA KACHUMBA PLS NIINBOX NIWAPE FUNGUO MUWEKE VYOMBO VYA USAFI SIKUMOJA KABLA MUAMKIE PALE
We unaonaje?We unaonaje?
Ni Ushamba tu hao Chadema wamewahi kuandamana lini?Kama amechemka wewe kachafue mazingira hiyo tarehe
Ni Ushamba tu hao Chadema wamewahi kuandamana lini?
Labda huko kwenu kwa akina Bilionea Sugu Moto Chini 😄
Nimetoka nae mbali huyo kwahy muacheSasa mbona hata uliyemtag hajachangia lakini umemdhihaki mkuu?
Wewe kaandamane siku hiyo uchafue mazingira uoneMkuu wa mkoa hana mamlaka ya kuamarisha jeshi dhidi ya mambo ya kisiasa ,mpuuzeeni chamila ni muhuni tu
Sema tu nakushauri acha matusi mkuu.Nimetoka nae mbali huyo kwahy muache
Sijamtukana mtu ila ww unaona hvy kwa sababu sio mhusika ila hao wenyewe wanajijuaSema tu nakushauri acha matusi mkuu.
matusi ni kipimo cha mwisho katika kujenga hoja zako.
Mtu akikutukana mpotezee utaonekana umeshinda zaidi ya yeye anayekutukana.
Mimi nawakubali Hamas tu wanaowahenyesha NATO na USA miezi sasaMbowe kasema maandamamo trh 24, huyu chalamila kasema usafi utafanywa na jeshi trh 23 na 24, haya bwana hao ndio ccm ,wenye kuelewa mchezo ngoja tukae kimya
baelezeeMAJESHI YETU MATAKATIFU msipende kutumika kisiasa mnashusha hadhi na HESHIMA ZA KIMEDANI MLIZONAZO.