Pre GE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii nchi nikijipata nahama na sirorudi tena hata maiti, Maana mwisho tunaonekana wote was*ng* tu. Mambo gani haya sasa🚮
 
Amani yetu ni bora sana kuliko kuwaacha wahuni wa chadema wachukue political mileage kwa manufaa yao,wakati huo wananchi wasio na hatia wakipoteza maisha mbowe na makengeza yake atakuwa akishuhudia haya kupitia runinga akiwa Mareakani na Lissu akiwa Amsterdam ubeligi kwa mabwana zake.


Safi sana serikali yangu,na mimi ningekuwa Dar ningejitolea kufanya usafi siku hiyo,eti maandamano,my foot
 
Sema tu nakushauri acha matusi mkuu.

matusi ni kipimo cha mwisho katika kujenga hoja zako.

Mtu akikutukana mpotezee utaonekana umeshinda zaidi ya yeye anayekutukana.
Sijamtukana mtu ila ww unaona hvy kwa sababu sio mhusika ila hao wenyewe wanajijua
 
Mbowe kasema maandamamo trh 24, huyu chalamila kasema usafi utafanywa na jeshi trh 23 na 24, haya bwana hao ndio ccm ,wenye kuelewa mchezo ngoja tukae kimya
Mimi nawakubali Hamas tu wanaowahenyesha NATO na USA miezi sasa
 
Wao wafanye usafi sisi tutafanya maadamano ya Amani.

Jumuiya ya Kimataifa inaangalia.
 
Back
Top Bottom