Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Usisingizie ukabila sehemu yeyote yenye huduma nzuri lazima ipate wateja sema watanzania wengi wamelala poor customer kwenye biashara utegemee wateja, mchaga mbele ya hela na huduma ana standard nzuri tofauti na waswahili ambao ni ma mwinyi tu wakuletewa kila jambo. Ni sawa na ile Tanzania tunawalaumu wakenya kwa kubaba fursa zetu huku sisi tumelala usingizi wa pono tunalalamika na hatuko aggressive, pia nchi hii hamna ukabila zaidi ya kusoma humu jf tu kwa kukuzwa, wenye ukabila huko kenya haswa
 
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Mwanza yapo ila Yana chunvi nyingi sana
 
Uhai kubwa lita 1.5 wanauza jero, eti wanaita sapong jinga sana hawa watu
Sasaivi uhai kaongeza anatoa lita 1.6 ni kubwa ilo,naona anataka kuwapiga gape wenzake akina Afya,Masafi,New drop na hill water wanaotengeneza lita 1.5
 
Tbs si wanakuwa wameshayakagua viwango vyake
 
Maji ya kilimanjaro iliwalenga watu wenye uwezo....
Baada ya wadau kuingia kwa kasi ktk biashara ya maji na kuuza kwa bei ya chini hapo ndipo soko la maji ya kili ilipoanza potea
Ila naona mpaka sasa maji ya kili bado wanawalenga watu fulani tu

Ova
Hayo maji ya Kilimanjaro utayaona kwenye mahoteli yenye hadhi ya nyota tano
 
Afya ndio inauzika sana nenda kwa wauza maji wenye maduka wakwambie mimi nauza maji afya ndio inayoongoza Tanzania sio Dar tu
Tanzania! Huku kaskazini hata hatujui hayo maji yanafananaje. Huku tunakunywa kilimanjaro tu
 
Mchaga mbaguzi sana yeye anaweka maji ya kilimanjaro tu dukani kwake halafu anakwambia inauzikana sana sasa hivi maji ya Kilimanjaro hawapati soko ndio maana uzalishaji mdogo
Bora Capote tu pengine na nguvu zetu za kiume zitarejea kama hapo awali
 
Maji ya kilimanjaro tunayokunywa dar sio yale yanayotoka bonite. Yanantengenezwa hapo kibaha tu. Hata taste yake ni.chumvi tu. Tofauti kabisa na ukinywa yale origional ya moshi/arusha.
Hata maji ya Kilimanjaro ya moshi yana chumvi chumvi, maji ya Kilimanjaro yanasafirishwa toka moshi hadi dar na scania za bonite adakiss23
 
🤣🤣🤣🤣
 
Unasumbuliwa na wivu wa kichawi,kwhyo MCHAGA kujenga sheli mwanza imekukera? Sasa kwa hali hiyo mbona utakereka sana? Maana karibu kila mahali wana ma sheli kwanzia tunduma,mbeya,iringa,pwani,dar Dodoma nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…