Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Acha kubwatuka wewe mla kichuri,hujui kuwa biashara za mengi wenye hisa ni watoto wake wawili? Na zinafanya vizuri tu mbona
Maji ya Kilimanjaro ni Brand kubwa mzee yamatumika mahotel makubwa, hiyo ya kuwa na chumvi ni market sabotage.
 
Awali ni awali tu, acha wivu mura ulipofulia ndipo tulipoanikia
 
Huwez kukaa sehemu moja ukarajirika ndio maana unaona huku wazungu,wahindi nk wewe endelea na mindset za kukaa sehemu moja Kama mimba akili inazubaa unakosa hata exposure,tembea uone mengi
 
Ngarenalo na matejoo miguu ya kuku na kichwa pamoja na utumbo jioni vimejaa hapo chuga..
 
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Mimi ninaongezea tu linalohusiana na bidhaa hizo. katika hiyo list, kuna chupa ya maji ukiyaweka mezani hayakai. yana ulemavu wa kitako. halafu unakuta yamejazwa mpaka pomoni, ukifungua bila umakini unaloa suti yako. kitendo cha chupa kuwa na ulemavu na maji kujazwa mpaka pomoni ni dalili za bidhaa duni isiyo na viwango.
 
Muulize Bi Jackie Ntuyabuliwe. Siku hizi tunapendelea maji ya mvua.
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
 
Unasumbuliwa na wivu wa kichawi,kwhyo MCHAGA kujenga sheli mwanza imekukera? Sasa kwa hali hiyo mbona utakereka sana? Maana karibu kila mahali wana ma sheli kwanzia tunduma,mbeya,iringa,pwani,dar Dodoma nk
Haijanikera sema wewe haujanielewa ni kuwa jamaa huwa hawanunui bidhaa tofauti na watu wa kwao.
Yaani Kama Kenya.
Mie napenda tuwe matajiri Mana ajira zitapatikana.
Sichukii hata kidogo mwenye nacho. Mana hata atamsaidia mwenye shida tajiri tukiwa nao wengi.

Ila ukabila na suala la wewe kisa umepata vijipesa na umesoma afu unadharau Kaka yako kisa tu hajasoma na hela.
Afu unamtuma Kama mwanao.
Inatakiwa ufanye huduma popote bila ya kuangalia huyu jamaa ni wa wapi.
Unanielewa mkuu. Dunia imejaa Mali nu kupambana kwenda mbele ni akili yako.

Pia ukabila na udini ni mbaya ni balaa Sana sema hujawahi kuona madhara yake.
Yaani kila kabila litakuwa na Taifa lake
 
Awali ni awali tu, acha wivu mura ulipofulia ndipo tulipoanikia
Mie mura wivu Sina Tena huwa nawapenda mangi wanavyopambana sema ishu iyo hapo inawamaliza Sana.
Mbona wamesoma na Wana Mali like crdb namie Nina akaunti huko, precision air, wafanyabiashara wakubwa Sana ama ni uwongo.
Ukienda chuoni vijana wengi darasani ni watokea Kilimanjaro Ila Sasa isiwe sababu ya kuwatukana ndugu zako.
Kama u mwerevu unamwambia Cha kufanya sio unamcheka na hii dunia hatukai milele mangi.
 
Upo sahihi 100% kama wanakupinga ni kwa interests zao ila ukweli umeusema mkuu.

Dhambi ya ubaguzi haina ukomo mpaka pale utakapobaki peke ako!

Wachaga wanaonekana wamoja huku mikoani lakini kwao Kilimanjaro wanabaguana sana, kuna wale wa Kishumundu ndo hawana kabisa thamani wanabaguliwa hatari.

Wachaga acheni ubaguzi!
 
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Watayapandisha being muda sio mrefu
 
Mchaga OG yupo tayari aruke maduka Saba Ila la nane akamuungishe mchaga mwenzie sio ubaguzi n Hali ya kujali na kuthamini Cha nyumbani.

Kilimanjaro water na Hill water wote wa kule kule

December huwa Kuna changamoto Sana uchagani
 
kwani dar si kuna makampun mengine pua ambayo yanazalisha maji
 
Jamaa ni nouma Sana yaani kuuza bidhaa za wengine hakuna yaani Wana ukenya Ile mbaya. Itafikia hakuna kununua maduka Yao Mana na wao huwa hawanunui maduka ya wengine aka vyasaka.
Unasumbuliwa na wivu tu
 
Lengo la kufanya hvyo ni ku motivate wengine watafute,ndio maana uchagani kila mtu anafanya bidii ili asijechekwa kwamba Hana kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…