Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Maji ya Kilimakyasharo natawazia chooni mbona ama unataka nipige video call nilionyesha mkuu.
. Sema waafrika pia hatuna uwezo wa kurithi biashara,ulizaliwa baba akiwa nazo unabweteka.
Mengi biashara zake akaachia MTT wa dada na wa Kaka yake watt wake hakuna kitu.

Waafrika tunafeli Sana tunajua ukabila na udini ngono na dance na hakuna kitu.

Cheki Kama biashara labda yaweza kwenda mpaka kizazi Cha 5.
Mangi bana, weee ni mkibosho mmarangu,mmachame ama mie ni kyasaka so unawajua vyasaka akina vishoia.

Egoism inakutafuna mangi,ego is demon residing to your soul
Acha kubwatuka wewe mla kichuri,hujui kuwa biashara za mengi wenye hisa ni watoto wake wawili? Na zinafanya vizuri tu mbona
Maji ya Kilimanjaro ni Brand kubwa mzee yamatumika mahotel makubwa, hiyo ya kuwa na chumvi ni market sabotage.
 
Wao wanajua ama wanajiamini wao ndio wajanja Tanzania nzima.
Sawa baabu zao walisoma huku babu zetu wakichunga ng'ombe ilo hatukatai Sasa saivi hatuchungi na watt wetu na wetu watasoma pia.

Kama vipi tutawanyike kila kabila liwe ni nchi inayojitegemea.
Ukabila na udini ni sumu mbaya. Mana ni Imani na Imani Ina nguvu Sana inakuja kuwa sawa na emotions ambazo not controlled
Awali ni awali tu, acha wivu mura ulipofulia ndipo tulipoanikia
 
Mwaka 97 Kama ulikuwa mkubwa Mombasa walizipiga kuwa wahamiaji wa makabila mengine warudi kwao waachie wenyeji mji wao.
Kuna watu wakiaambiwa wakae kwao watawahi kufa. Ardhi hawana tokea enzi za mkoloni walikuwa wanapigania ardhi.

Tigray wanajiona wao ni Bora Sana wanataka kujitenga Mana awamu hii watu wao hawajapewa uongozi serikalini.
Walizoea wao tu kuila nchi saivi wamewekwa kando so wanaumia Sana.
Haya magari ni ya mmachame,mmarangu ,mkibosho ama ni wasiha,mu uru ,mu old Moshi ,na huko bado marangu na huko bado Kuna koo, Koo ipi ya mbowe ama ipi, Mana usikute hata Koo yako haijulikani kwa chochote Kama vyasaka ama vishoia tu unajitapa na Mali za mrombo kumbe wewe ni mkibosho
Huwez kukaa sehemu moja ukarajirika ndio maana unaona huku wazungu,wahindi nk wewe endelea na mindset za kukaa sehemu moja Kama mimba akili inazubaa unakosa hata exposure,tembea uone mengi
 
85% ya wakaazi wa Dar ni masikini wa kutupa!! Wengi huishi chini ya mstari wa dola moja kwa siku sasa watawezea wapi maji ya 1ltr kwa 1000-1500?

Hill water ni 500 tu unapata lita so ni kawaida ndo maana huwezi kuta biashara ya miguu na utumbo wa kuku iringa au Arusha.
Ngarenalo na matejoo miguu ya kuku na kichwa pamoja na utumbo jioni vimejaa hapo chuga..
 
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Mimi ninaongezea tu linalohusiana na bidhaa hizo. katika hiyo list, kuna chupa ya maji ukiyaweka mezani hayakai. yana ulemavu wa kitako. halafu unakuta yamejazwa mpaka pomoni, ukifungua bila umakini unaloa suti yako. kitendo cha chupa kuwa na ulemavu na maji kujazwa mpaka pomoni ni dalili za bidhaa duni isiyo na viwango.
 
Muulize Bi Jackie Ntuyabuliwe. Siku hizi tunapendelea maji ya mvua.
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
 
Unasumbuliwa na wivu wa kichawi,kwhyo MCHAGA kujenga sheli mwanza imekukera? Sasa kwa hali hiyo mbona utakereka sana? Maana karibu kila mahali wana ma sheli kwanzia tunduma,mbeya,iringa,pwani,dar Dodoma nk
Haijanikera sema wewe haujanielewa ni kuwa jamaa huwa hawanunui bidhaa tofauti na watu wa kwao.
Yaani Kama Kenya.
Mie napenda tuwe matajiri Mana ajira zitapatikana.
Sichukii hata kidogo mwenye nacho. Mana hata atamsaidia mwenye shida tajiri tukiwa nao wengi.

Ila ukabila na suala la wewe kisa umepata vijipesa na umesoma afu unadharau Kaka yako kisa tu hajasoma na hela.
Afu unamtuma Kama mwanao.
Inatakiwa ufanye huduma popote bila ya kuangalia huyu jamaa ni wa wapi.
Unanielewa mkuu. Dunia imejaa Mali nu kupambana kwenda mbele ni akili yako.

Pia ukabila na udini ni mbaya ni balaa Sana sema hujawahi kuona madhara yake.
Yaani kila kabila litakuwa na Taifa lake
 
Awali ni awali tu, acha wivu mura ulipofulia ndipo tulipoanikia
Mie mura wivu Sina Tena huwa nawapenda mangi wanavyopambana sema ishu iyo hapo inawamaliza Sana.
Mbona wamesoma na Wana Mali like crdb namie Nina akaunti huko, precision air, wafanyabiashara wakubwa Sana ama ni uwongo.
Ukienda chuoni vijana wengi darasani ni watokea Kilimanjaro Ila Sasa isiwe sababu ya kuwatukana ndugu zako.
Kama u mwerevu unamwambia Cha kufanya sio unamcheka na hii dunia hatukai milele mangi.
 
Upo sahihi 100% kama wanakupinga ni kwa interests zao ila ukweli umeusema mkuu.

Dhambi ya ubaguzi haina ukomo mpaka pale utakapobaki peke ako!

Wachaga wanaonekana wamoja huku mikoani lakini kwao Kilimanjaro wanabaguana sana, kuna wale wa Kishumundu ndo hawana kabisa thamani wanabaguliwa hatari.

Wachaga acheni ubaguzi!
 
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Watayapandisha being muda sio mrefu
 
Mchaga OG yupo tayari aruke maduka Saba Ila la nane akamuungishe mchaga mwenzie sio ubaguzi n Hali ya kujali na kuthamini Cha nyumbani.

Kilimanjaro water na Hill water wote wa kule kule

December huwa Kuna changamoto Sana uchagani
 
kwani dar si kuna makampun mengine pua ambayo yanazalisha maji
 
Jamaa ni nouma Sana yaani kuuza bidhaa za wengine hakuna yaani Wana ukenya Ile mbaya. Itafikia hakuna kununua maduka Yao Mana na wao huwa hawanunui maduka ya wengine aka vyasaka.
Unasumbuliwa na wivu tu
 
Haijanikera sema wewe haujanielewa ni kuwa jamaa huwa hawanunui bidhaa tofauti na watu wa kwao.
Yaani Kama Kenya.
Mie napenda tuwe matajiri Mana ajira zitapatikana.
Sichukii hata kidogo mwenye nacho. Mana hata atamsaidia mwenye shida tajiri tukiwa nao wengi.

Ila ukabila na suala la wewe kisa umepata vijipesa na umesoma afu unadharau Kaka yako kisa tu hajasoma na hela.
Afu unamtuma Kama mwanao.
Inatakiwa ufanye huduma popote bila ya kuangalia huyu jamaa ni wa wapi.
Unanielewa mkuu. Dunia imejaa Mali nu kupambana kwenda mbele ni akili yako.

Pia ukabila na udini ni mbaya ni balaa Sana sema hujawahi kuona madhara yake.
Yaani kila kabila litakuwa na Taifa lake
Lengo la kufanya hvyo ni ku motivate wengine watafute,ndio maana uchagani kila mtu anafanya bidii ili asijechekwa kwamba Hana kitu
 
Back
Top Bottom