Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi

Amen, God never fails read:Devotional on Joshua 21:45
 
I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Tizama ndugu kukaa ulaya sio rahisi Marehemu Kambona alishindwa pamoja na kupewa bahati nasibu fedha kibao ziliisha akaona bora arudi nyumbani
 
This thing ujio wa Lisu mnaukuza kana kwamba dunia inakwisha kesho. Hapana shaka kwamba Lisu ana bifu na JPM. Anatazama na kutumia nafasi ya uchaguzi kama silaha for revange. Hakuna nguvu wala extra ordinary powers zinazo msukuma arudi Tanzania kipindi hiki zaidi ya chuki. Na kwa wenye akili timamu tunasema "good luck" to him. Yeye she tu.
 
Muda utaongea.
 
Nakuapia Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wa Eliya, Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo. Lissu atafika salama na Atagombea urais kwa uhuru na amani tele.

Baba wa Mbinguni aendelee kumlinda kwa Sifa na Utukufu wa Jina lake.
 
Unajua Kuna watu huwa wanazaliwa na ktu ndan ambacho knamfanya ashindwe kujzuia pale anapoona Kuna hak za watu znapotea mahali,
 
"anatoa sadaka usalama ili tu asionekane msaliti" haya maneno yana maana gani?. Ndani ya nchi sijaona mtu mzalendo kama Lisu, tatizo lake kubwa nikuwaeleza wakubwa ukweli huku wakiwa wanakula.
Ni mtu anayejipa ushujaa wa kijinga-jinga tu! Tangu lini Mzalendo akawa wa aina hiyo? Ndo huyu aliyekuwa mtetezi wa makampuni ya madini na kujidai akiumba sheria za kimataifa? Ndo huyu anayewatoza wana CDM wenzake milioni 20 kuwatetea kwenye kesi?

Amesafiri kutafuta msaada ulaya na US sasa hana pa kwenda analazimisha kurudi bila uhakika wa matatizo yake. Afike waliomuwekea dhamana wamtie ndani! Alidhani Ulaya ina ajira za wanasheria wa waafrika? Ulaya inataka wanasayansi wa afrika, yeye na sheria yake apate kazi gani? Ameishia kutesa watoto tu!
 
Nawashauri CDM wapeleke mbele ujio wa Lissu kwa wiki moja nyuma ili pasiwe na sababu ya kuzuia ujio wa Lissu.
 
Lisuu mzalendo shujaa kama hutaki kufa Kama mwenzenu
 
Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.

Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Basi aje na atuhakikishie kuwa atakaa atatulia, sio aje aanze tena yale makeke yake......ata tu provoke.
 
Nawashauri CDM wapeleke mbele ujio wa Lissu kwa wiki moja nyuma ili pasiwe na sababu ya kuzuia ujio wa Lissu.
Hata ukisogezwa mbele,bado hawatakosa sababu ya kumzuia.
 
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Mko kwenye maombolezo huku mkikumbuka ya Zanzibar. Kuna watu wakisoma post yako hii wanajisikia kutapika maana kumbukumvu ile haipotei mawazoni

Your browser is not able to display this video.
 
Elewa hapo analosema hekima na busara ndo vitumike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…