Amesema vyema kabisa. Hawa mbwa ambao wamekubali kuwa rubber stamp wa Bi.Uozo, kuwajadili ni matumizi mabaya ya muda"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Hao wajinga tu, JPM aliwapelekea moto alipokuja Samia wakadhani wataweza kumuendesha na yeye anaendeleza moto ule ule aliourithi.Ahaaaa nyie majibu yenu yanachekesha ππ
Shule muhimu wenzetu wapo vzr kichwaniHao wajinga tu, JPM aliwapelekea moto alipokuja Samia wakadhani wataweza kumuendesha na yeye anaendeleza moto ule ule aliourithi.
Kama umesoma huwezi kuwa na mawazo mgando kiasi hichoNilisoma darasa moja na Heche SAUT na GPA yangu ni kubwa kuliko yake.
Nadhani nimekujibu
Kumbe kununua, nikajua wanakuja kuomba. Kama kununua, hiyo ni biashara. Unafikiri usipowauzia wewe chakula, watakufa njaa!? Minwazi watatumia pesa zao ambazo wewe umezikataa kununua chakula mahali pengine. Kwa hiyo punguza ujinga.Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Ujinga hapo ni upi!!?Hawa wapuuzi bado wana hasira na spana za Samia kwa wale wapuuzi wanaharakati wao.
Wataongea kila aina ya ujinga lakini ukweli ni kwamba huwezi ukaleta siasa zenu huku TZ kwani hakuna Mtanzania anayeweza kwenda mahakamani Kenya kusikiliza kesi nyingi tu za serikali yao dhidi ya wanasiasa wao.
Maelekezo ya Mwigulu ni kuhamia BurundiUnahamia lini?
Kwa wale ambao hamkuelewa huyo mbunge aliposema kubishana na mtu ambaye sifa yake kubwa ni kujua kusoma na kuandika ni kupoteza muda asome comment ya huyu jamaa halafu afananishe na mada kuu.Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Ugomvi wa Bibi Uozo na machawa wake na Wakenya huo. Acha kuingilia. Au nawe ni chawa tu!?Kwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
Kabsa yaaniHao ndio maana wanaongozwq na wabunge wanaojua kusoma na kuandika kiswahili. Maana mtu kaongea mambo mengine yeye anaongea mambo ya chakula
1.Ulitegemea aseme nini wakati maumivu amepata baada ya wahuni waliowatuma kuishia kwenye wheelchair?"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil
Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates
Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.
Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini
Jadili hoja, type yenu ndiyo inasababisha tudharauliwe.Vuka mpaka nenda katafute bwana mwenye akili Nairobi moyo wako utulie.
Hiki sio Kiswahili cha mkenya, ni cha Kitanzania, labda imetafsiriwa toka kiingereza. Ila kuna ukweli katika madai yake."Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Samia na genge lake akiona ujumbe huu anaweza paralyze, kama namuona akiusoma huku anatetemeka...... nadhani atakuwa amejifunza ujinga na mipasho yake isio na mantiki"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Huko kwenu mna1.Ulitegemea aseme nini wakati maumivu amepata baada ya wahuni waliowatuma kuishia kwenye wheelchair?
2.Anadhani Watu ni wajinga kiasi kwamba tumesahau kuwa wanakula rushwa Ili kujipendekeza Kwa Ruto?
3.Kenya ni Nchi maskini ambayo inategemea Msaada wa kibajeto na wakati huo huo 70% ya Bajeti Yao inatumika kulipa madeni.
4.Wakenya Huwa wanajisifu kuongea kingereza Sasa jiulize inakuaje Nchi iliyoendelea na Ina kiingereza safi Hadi Leo hii inasumbuliwa na njaa Kila mwaka kiasi Cha kuuana wakigombea ugali mara Kwa mara ππ
5.Mwisho Kenya ni Nchi Kibaraka wa Wazungu na mda wote kazi Yao ninkukipendekeza huko ndio maana hakuna Kiongozi kutoka Kenya atagombea nafasi yeyote.
Watu wenye akili tegemezi kama hao wanaweza kuwa mfano Kwa nani?
Tuliwatandika wakati wa Kuhamisha Masai,tulitia kibiriti vifaranga na Sasa tumewatia bakora wamerudi kwenye wheelchair.
Bila shaka Sasa wameelewa kwamba Tanzania sio public toilet ππ
Umeandika UHARO.Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Ningelikuwa na mawazo freshi kama yapi?Kama umesoma huwezi kuwa na mawazo mgando kiasi hicho