Forms walichukua mapeema wakabaki nazo wanasubiri BABA LAO CCM ili wawasilishe pamoja. Imekula upande uleeee.Maendeleo hayana chama HONGERA NAPEUsisahau wasaliti wengi wameuza mchezo.Ni kawaida ndio maanake walikuwa wanazunguka na maform kufika bei.Upinzani wa kweli bado sana.
Rafiki yako kaka like serious asikuambie kama anagombe ubunge wala hata kuona posters zake?Kuna rafiki yangu anaitwa jonas nka sijui ndio huyu
Mliutanagazia ulimwengu kuwa Lissu atashinda karibuni kwenye mtanange.Magufuli baba lao.Hahaaaaaaaa uchaguzi maandalizi ushawishi,uelewa na mikakati. RIP chadomoResources tunaona wote zinavotumika kuteka watu na kuwanyang’anya fomu ndiyo uzoefu huo wa muda mrefu. Watanzania wanaona kila kitu tumeona yaliyokuwa yanaendelea huku luangwa ili kupita bila kupingwa.
Tusubiri tuone nani ataishia kunywa hiyo sumu.Kunywa sumu kama umechukia,
Hicho ndicho kitu kinatuumiza.Ukisikia uzwazwa wa mitandao unaona wanachukuwa nchi asubuhi but reality in the ground afadhali ya 2010 na 2015.Utachukuwa nchi bila idadi kubwa ya wabunge na madiwani?Forms walichukua mapeema wakabaki nazo wanasubiri BABA LAO CCM ili wawasilishe pamoja. Imekula upande uleeee.Maendeleo hayana chama HONGERA NAPE
teh teh teh
Hamjiulizi, Mbona Halima Mdee, Sugu, Lema, Msigwa, Mwamba fomu zao hazijakosewa? kwa nini hao?
Biashara mkuu, wameshachukua chao mapema.
Kabla ya mapingamizi, wachunguzeni wagombea wenu kwanza
N hi ya anabu hii
kanuni za nec Ni za kuvizivizia ili kuminya nafasi za ushinda kwa kuwakataa wapinzani
Kuna Haja gani ya kurudisha fomu siku 2 na kufunga zoezi bila kutoa fursa kwa wale wenye excuse za kueleweka?
Fomu zikikosewa so zinarudiwa tu.
Mh raisi Lissu ukiwa raisi waambie CCM utafuta huu uhuni wa NEC ili nawao washiriki uchaguzi kwa uhuru
Sasa kama wamekosea na hata ukipinga majibu si yatakuja Yale Yale mkuu.Si ni mchezo unakuwa coordinated kwa kushirikiana na vyombo vya dola sasa hao viongozi watasemaje wamekosea si wataelekea mahakamani hata hayo majimbo kwa ushahidi uliotunzwa yakipingwa matokea wanaweza kuvuliwa asubuhi kweupeee
Wakikata rufaa tume itawarusishaNafasi ya kukata rufaa kwa tume ya uchaguzi ipo, hivyo basi dhamana waliobaki nayo ni Tume ya kuamua Kama Wapinzani wanarudishwa au hawarudishwi
Beib'Halafu wanaokosea kujaza form ni upinzani peke yako. 🤔
soma ulichoandika halafu rudiaNec wanapokea mapingamizi ya mgombea kukosa sifa ya kuwa mgombea sio mgombea aliyetangazwa kuwa ameshinda.
Tunaweka pingamiziMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mvomero Mkoani Morogoro,Hassani Njama amethibitisha kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Jonas Van Zeland amepita bila kupingwa baada ya kile alichotaja ni kutokana na Wagombea wa Vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo
Hili nakubaliana na wewe 100%.Dawa ni fomu kujazwa online hala kila chama kinakuwa na access ya fomu zote lakini baada ya kujazwa zinakuwa kwenye pdf halafu tume inazidownload na kuondokana na hii tabia ya fomu imeshachukuliwa