Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani
Usisahau wasaliti wengi wameuza mchezo.Ni kawaida ndio maanake walikuwa wanazunguka na maform kufika bei.Upinzani wa kweli bado sana.
Forms walichukua mapeema wakabaki nazo wanasubiri BABA LAO CCM ili wawasilishe pamoja. Imekula upande uleeee.Maendeleo hayana chama HONGERA NAPE
 
Resources tunaona wote zinavotumika kuteka watu na kuwanyang’anya fomu ndiyo uzoefu huo wa muda mrefu. Watanzania wanaona kila kitu tumeona yaliyokuwa yanaendelea huku luangwa ili kupita bila kupingwa.
Mliutanagazia ulimwengu kuwa Lissu atashinda karibuni kwenye mtanange.Magufuli baba lao.Hahaaaaaaaa uchaguzi maandalizi ushawishi,uelewa na mikakati. RIP chadomo
 
Halafu wanaokosea kujaza form ni upinzani peke yako. 🤔
 
Kupita bila kupingwa siyo sifa nzuri kwa jimbo linalohusika.

Pamoja na pongezi kwa wagombea waliopita bila kupingwa, ni muhimu kwao kujua kwamba wanayo kazi kubwa ya kuongoza jamii zenye ujima kwa kiwango kikubwa.

Maendeleo ya jamii yanathibitishwa na ushindani katika kutafuta nafasi za uongozi wa kisiasa.
 
Forms walichukua mapeema wakabaki nazo wanasubiri BABA LAO CCM ili wawasilishe pamoja. Imekula upande uleeee.Maendeleo hayana chama HONGERA NAPE
Hicho ndicho kitu kinatuumiza.Ukisikia uzwazwa wa mitandao unaona wanachukuwa nchi asubuhi but reality in the ground afadhali ya 2010 na 2015.Utachukuwa nchi bila idadi kubwa ya wabunge na madiwani?

Utumike uchaguzi huu kuimarisha vyama vya upinzani sio kuchukuwa nchi.
 
teh teh teh
Hamjiulizi, Mbona Halima Mdee, Sugu, Lema, Msigwa, Mwamba fomu zao hazijakosewa? kwa nini hao?
Biashara mkuu, wameshachukua chao mapema.

Kabla ya mapingamizi, wachunguzeni wagombea wenu kwanza

Si ni mchezo unakuwa coordinated kwa kushirikiana na vyombo vya dola sasa hao viongozi watasemaje wamekosea si wataelekea mahakamani hata hayo majimbo kwa ushahidi uliotunzwa yakipingwa matokea wanaweza kuvuliwa asubuhi kweupeee
 
N hi ya anabu hii

kanuni za nec Ni za kuvizivizia ili kuminya nafasi za ushinda kwa kuwakataa wapinzani

Kuna Haja gani ya kurudisha fomu siku 2 na kufunga zoezi bila kutoa fursa kwa wale wenye excuse za kueleweka?

Fomu zikikosewa so zinarudiwa tu.

Mh raisi Lissu ukiwa raisi waambie CCM utafuta huu uhuni wa NEC ili nawao washiriki uchaguzi kwa uhuru

Dawa ni fomu kujazwa online hala kila chama kinakuwa na access ya fomu zote lakini baada ya kujazwa zinakuwa kwenye pdf halafu tume inazidownload na kuondokana na hii tabia ya fomu imeshachukuliwa.
 
Si ni mchezo unakuwa coordinated kwa kushirikiana na vyombo vya dola sasa hao viongozi watasemaje wamekosea si wataelekea mahakamani hata hayo majimbo kwa ushahidi uliotunzwa yakipingwa matokea wanaweza kuvuliwa asubuhi kweupeee
Sasa kama wamekosea na hata ukipinga majibu si yatakuja Yale Yale mkuu.

Issue ni kwamba, wagombea wenu wamejikosesha makusudi ili waenguliwe kwa sababu wameshachukua chao mapema.
 
Nec wanapokea mapingamizi ya mgombea kukosa sifa ya kuwa mgombea sio mgombea aliyetangazwa kuwa ameshinda.
soma ulichoandika halafu rudia
Hayo mambo yanaenda NEC na siyo kwingine DED yeye katangaza kwa ngazi take lakini nafasi ya kukata rufaa bado IPO NEC
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mvomero Mkoani Morogoro,Hassani Njama amethibitisha kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Jonas Van Zeland amepita bila kupingwa baada ya kile alichotaja ni kutokana na Wagombea wa Vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo
Tunaweka pingamizi
 
Dawa ni fomu kujazwa online hala kila chama kinakuwa na access ya fomu zote lakini baada ya kujazwa zinakuwa kwenye pdf halafu tume inazidownload na kuondokana na hii tabia ya fomu imeshachukuliwa
Hili nakubaliana na wewe 100%.

Chama kisimamie zoezi la kujaza fomu. Wagombea waje kuweka sahihi tu. Hii itapunguza huu mchezo
 
Back
Top Bottom