guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na niwe mbaguzi tu,lakini imenikera.Kama angekuwa anafaa nisingejali.Hapa haukuangaliwa weledi ila maslahi na ni mwenzetu.Unaposema "Mholanzi" sio sawa kabisa na huo utakuwa ni ubaguzi.
Baba yake alikuwa ni Mtanzania mwenye asili ya uholanzi na mama yake ni Mzigua wa huko Turiani hivyo Jonas ni Mtanzania, sasa leteni hoja za kuipinga uteuzi wake lakini msilete hoja za kibaguzi kama walivyokuwa makaburu wa Afrika kusini waliowabagua waafrika kwa ajili ya Uafrika na rangi yao.
Kwani mwanasheria msomi tundu lisu jimboni kwake napo pakoje?.maana katika top ten ya wasomi tanzania nzima lissu naye yumo.Morogoro mkoa uanaoongoza kwa vyuo vikuu Bora kabisa SUA,MZUMBE nk lkn wanakua mazezeta hv mnaongozwa na std seven wahuni shame!
Ni asili watu wa mikoani kuwa na imani kubwa kwenye mabasiWamiliki wa mabasi wameiteka Moro kitambo sana
Zeeland
Sadiq
Abood
Shabiby
Sio kweliPicha zinakua zimegongwa muhuri na unakua umegusa karatasi..SASA kama alikua mbunge wa viti maalum na alijaziwa kule ofisini na wataalamu ni vigumu kukosea but now kuna pirika kibao kwenye hivyo vyama na kila mmoja anapambana kivyake but we angalia CCM
Huyu Ni mtanzania mwenye asili ya ulaya?Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mvomero Mkoani Morogoro,Hassani Njama amethibitisha kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Jonas Van Zeland amepita bila kupingwa baada ya kile alichotaja ni kutokana na Wagombea wa Vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo
OkaySio kweli
Mpayukaji kasema atawaingizeni barabarani,vipi mtaingizwa lini barabarani maana Hadi Sasa 20-0.Mkuu,unaweza kutueleza kati ya haya majimbo ni mangapi ambayo wagombea wa CCM walikuwa peke yao 'pure' yahani ambayo wapinzani hawakuenguliwa kwa sababu zozote?.
Hakuna resources wala niniHuwezi kushiriki uchaguzi Kwa muda mrefu kama CCM walivyoshiriki na ukashindwa kujaza form, nadhani CCM Wana resources na experience kubwa compared to other parties ambazo to be honest vingine ata ofisi ya kujazia hizo forms hawana..
Unachukua hatua gani au mwisho ni mitandaoni tu?Kwa nini wapite bila kupingwa? Huu ujinga hatutaki kuusikia. Iweje ccm miaka yote wao tu ndio wapite bila kupingwa. Hizo figisu za kijambazi hazikubaliki.
Kwani hata kama imegongwa muhuri ndio haiwezi kutolewa? Msimamizi akisema fomu amepokea haina picha utamfanya nini?Picha zinakua zimegongwa muhuri na unakua umegusa karatasi..SASA kama alikua mbunge wa viti maalum na alijaziwa kule ofisini na wataalamu ni vigumu kukosea but now kuna pirika kibao kwenye hivyo vyama na kila mmoja anapambana kivyake but we angalia CCM..wenyeviti,makatibu wa mikoa na wilaya wengi wako maofisini kuwasaidia wagombea wao.. tofauti na vyama vingine unakuta kuanzia Mwenyekiti wa Taifa na safu nzima ya Viongozi wa kitaifa,Mkoa na Jimbo wote wanagombea ubunge,udiwani hata urais...as the result hawana officials ambao wametulia kuwapa miongozo na msaada wa kiofisi...na mbaya zaidi siku ya kurejesha form ni moja tuu na deadline ni saa 10.
Unahama lini nchi kamanda?Yote lazima yawekewe pingamizi
Uhuni sasa basi