Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
CCM imepita bila kupingwa katika majimbo haya:
1. Misungwi,
2. Ruangwa,
3. Ushetu,
4. Morogoro Mjini,
5. Mvomero,
6. Kilosa,
7. Mtama,
8. Gairo
9.Kongwa
10. Namtumbo
11. Kavuu
12. Katavi
13. Morogoro Kusini
14. Chamwino
15. Kondoa
16. Mpwapwa
17. Vwawa
18. Dodoma Mjini
Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets hapa.
Updates
1. Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro una Majimbo 11 hadi sasa CCM Imepita bila kupingwa katika Majimbo 6
- Jimbo la Kilosa
(Prof Kabudi)
- Jimbo la Gairo
Ahmed Shabiby
- Jimbo la Mvomero
Jonas Vanzland
- Jimbo la Morogoro kusini
Innocent Kalogeris
- Jimbo la Morogoro kusini mashariki
Hamis Taletale (Babu Tale)
- Jimbo Morogoro Mjini
AbdulAziz Abood
2. Mkoa wa Katavi
- Jimbo la Kavuu
Geophrei Mizengo Pinda
- Jimbo la Mlele
Aloyce Kamwelwe
3. Mkoa wa Mwanza
- Jimbo la Misungwi
Alexander Mnyeti
- Jimbo la Kwimba
Shanif Mansoor
4. Mkoa wa Lindi
- Jimbo la Ruangwa
Kassim Majaliwa
- Jimbo la Mtama
Nape Nnauye
5. Mkoa wa Shinyanga
- Jimbo la Ushetu
Elias Kwandikwa
6. Mkoa wa Dodoma
- Jimbo la Kongwa
Job Ndugai
- Jimbo la Chamwino
Deo Dejembi
- Jimbo la Kondoa mji
Ally Juma Makoa
- Jimbo la Kondoa Vijijini
Dkt. Ashatu Kijaji
- Jimbo la Dodoma Mjini
Anthony Mavunde
- Jimbo la Mpwapwa
George Malima
7. Mkoa wa Ruvuma
- Jimbo la Namtumbo
Vita Kawawa
8. Mkoa wa Mbeya
- Jimbo la (Vwawa - Songwe)
Japhet Hasunga
- Jimbo la Ludewa
Joseph Kamonga
= Orodha zaidi itakujia hivi punde=