Hauko serious kama unafikiri ntafungua hiyo Link.
Jibu kwa ufupi tu.
allah na malaika wake wanamuombea/mswalia mohamed kwa allah na malaika wake.
Mwenzako kasema mm sijui kiarabu.
Ila hapo nimeandika kwa kiswahili.
Unanijua.wewe unataka ubishi , hutafuti elimu . Huko serious. Unafikiri kila kitu tunaangalia AI . Kwanza AI ina makosa mengi ya kutafsiri Quran wachilia mbali kwenye kiarabu cha dini.
hapo kwenye link kuna swali hilo hilo na kama unataka majibu ungalifunguwa link . Ni kiswahili pia
Unaona swala mungu kuabudiwa pamoja na marehemu?nimejibu swali lako hapo juu
Nani kasema jibu linatakiwa liwe fupi?Unanijua.
Sio Ubishi. Nina hoji.
Ila siwez fungua Link hapa.
Jibu linatakiwa kuwa fupi na watu waelewe.
Mtume ameshanyanyuliwa daraja.
Kwanini bado nyinyi, allah na malaika wake mnamuombea kwa allah?.
Nani kasema jibu linatakiwa liwe fupi?
Ulifunguwa link ukakuta jibu refu ?
Sisi wajibu watu kufikisha ujumbe , kukubali au kukataa ni uamuzi wako. Kil mtu atabeba mzigo wake.
Nani kasema jibu linatakiwa liwe fupi?Sawa. Naiweka kumbukumbu kuwa hakuna majibu yaliojitosheleza.
Ujumbe wa allah kamwe sitaukubali.
Hilo ni vyema ukalifahamu mwanetu.
Mwanakondoo ameshinda...Kesi sita za Yesu?
- “Kesi” ya usiku mbele ya Baraza la Sanhedrin — Marko
- “Kesi” ya asubuhi mbele ya Sanhedrin — Marko, Mathayo, Luka
- “Kesi” mbele ya Pilato — Marko, Mathayo, Luka, Yohana
- “Kesi” ya usiku mbele ya Anasi — Yohana
- “Kesi” mbele ya Herode Antipa — Luka
- “Kesi” ya pili mbele ya Pilato, baada ya Yesu kurudishwa na Herode — Luka
Yote haya yalitokea kuanzia usiku hadi saa sita mchana siku iliyofuata!
Kisa hicho kiliunganishwa pia na tukio la Petro kumkana Yesu mara tatu, pamoja na tukio la Baraba kuachiwa wakati wa Pasaka.
Kwa kifupi: kuna maswali mengi kuhusu mpangilio wa kesi hizi katika Injili.
Ameshinda kitu gani? Kesi?Mwanakondoo ameshinda...
Hahaha jamaa kajilipua leoHakika nimeamini🙌😁
Ht unaemuona mstaarabu ni suala la muda tu rangi zake utaziona
Ndio ukweli huo mbona imebainishwa hivyoMakubwa
NomaaaHahaha jamaa kajilipua leo
Waislamu watu wanapambana sana kuwatetea Ndugu zao waislamu wa kijini:
Ila sioni popote Waislamu Majini wakipambana kuwatetea Waislamu watu
hebu tufanye hivi:
Waalikeni hapa Waislamu Majini waongee tuwasikilize wao pia:.
Hatutaki muwasemee Waislamu Majini wakati wenyewe wapo:
kama Marehemu Muhamadi alikuwa anaongea nao Hadi kuwasilimisha basi naijua hata nyinyi mnao uwezo wa kuongea nao na kuwashawishi waongee hapa jukwaani:
Mishkat al-Masabih 350
Ibn Mas'ud reported God’s messenger as saying,
“Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”
{Wenzetu mmebahatika kupata Ndugu wa kijini}
Nilidhani Ndugu zenu wawe Malaika:
1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.Biblia yako yenyewe inakiri uwepo wa viumbe wa rohoni:
“Kushindana kwetu si juu ya damu na nyama, bali juu ya… majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.” — Waefeso 6:12.
Kwa hiyo kabla hujawaita Waislamu waalike majini jukwaani, kwanza eleza kwa Biblia yako hao pepo wabaya ni nani. Na Biblia yenyewe inasema: “Msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho.” — 1 Yohana 4:1.
Hizo roho za kujaribiwa ni zipi ??na za kuaminiwa ni zipi ??
1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
1 Yohana 4:1
2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
1 Yohana 4:2
3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
1 Yohana 4:3
Jibu lipo hapo hapo nilipo panukuu, ila kutokana na kitabu chako huwezi kuelewa:Umeninukulia 1 Yohana 4:1–3, lakini bado hujajibu swali nililokuuliza. Biblia yako inasema “msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho.” Sawa. Basi swali ni hili: hizo roho ni zipi, na mnazijuaje?
Umenijibu kwamba roho inayokiri Yesu Kristo amekuja katika mwili ni ya Mungu, na isiyomkiri Yesu si ya Mungu. Lakini hilo linahitaji ufafanuzi zaidi.
Kwa sababu Biblia yako yenyewe inasema:
“Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.”
— 2 Wakorintho 11:14
Na pia:
“Wapenzi, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.”
— 1 Yohana 4:1
Kwa hiyo hata kwa Biblia yako, si kila kinachodai kuwa cha Mungu kinapaswa kuaminiwa moja kwa moja. Kinapaswa kujaribiwa.
Na hapa ndipo hoja yako inapokuwa dhaifu: Mimi nilikuuliza kuhusu viumbe wa rohoni uliowaita pepo. Biblia yako inasema wazi kwamba kuna “majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho” (Waefeso 6:12). Sasa wewe badala ya kueleza hao ni nani, umehamisha mjadala kwenda kwenye “roho inayomkiri Yesu.”
Basi nijibu moja kwa moja kwa Biblia yako:
1. Hawa “pepo wabaya” wa Waefeso 6:12 ni nani?
2. Wametoka wapi?
3. Kwa nini Biblia yako inasema tunapigana nao ikiwa si viumbe wa rohoni?
4. Na kwa nini Shetani anaweza kujigeuza kuwa mfano wa malaika wa nuru (2 Wakorintho 11:14), ikiwa kila roho inaweza kutambuliwa kwa maneno rahisi tu?
Na kuna jambo lingine: Biblia yako yenyewe inasema Yesu alikabiliwa na viumbe wa pepo:
“Na pepo wengi walimtoka; nao walikuwa wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.”
— Luka 4:41
Sasa fikiria: hao pepo walimtambua Yesu na hata wakasema yeye ni Mwana wa Mungu, lakini Yesu hakuwafuata wala kuwaamini. Kwa hiyo kukiri jambo fulani kuhusu Yesu pekee hakumaanishi kwamba roho hiyo ni ya Mungu.
Hivyo usinijibu kwa kunirudia tu 1 Yohana 4:2–3. Nijibu hoja yenyewe kwa Biblia yako: hao pepo wabaya wa Waefeso 6:12 ni akina nani, na unatofautishaje sauti ya Mungu na roho ya udanganyifu?
Kama Biblia yako inasema “zijaribuni hizo roho,” basi mimi nimekuuliza tu: kipimo hicho kinafanyaje kazi?
Jibu lipo hapo hapo nilipo panukuu, ila kutokana na kitabu chako huwezi kuelewa:
17:85
Na wanakuuliza khabari za Roho.
Sema:
"Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu."
Mtume wako hakupewa elimu ya Rohoni, wewe utaelewaje?
soma kwa kurudia hapo utaelewa:
Wewe jisifu kwa kumjua Allah:Unaponukuu Qur’ani 17:85, unadhani umenijibu, lakini kwa kweli umehamisha mjadala kwa sababu umeshindwa kujibu swali langu kwa Biblia yako mwenyewe!
Kwanza, Qur’ani 17:85 inazungumzia Roho na mipaka ya elimu aliyopewa mwanadamu. Lakini mimi nilikuuliza kuhusu pepo wabaya wanaotajwa katika Waefeso 6:12. Kwa nini unachanganya maswali mawili tofauti?
Pili, unasema Mtume Muhammad ﷺ hakupewa elimu ya mambo ya rohoni. Je, unajua kila kitu alichofundishwa na Mungu? Na kwa msingi gani unadai kwamba kutofahamu kila kitu kuhusu roho ni sawa na kutofahamu chochote kuhusu viumbe wa rohoni?
Hata Biblia yako inasema:
“Sasa tunaona kwa kioo kwa jinsi ya fumbo.” — 1 Wakorintho 13:12.
Je, hiyo inamaanisha kwamba Wakristo hawajui chochote kuhusu Mungu kwa sababu hawajui kila kitu?
Pia, Biblia yako inasema:
“Kushindana kwetu si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.” — Waefeso 6:12.
Sasa nijibu swali langu badala ya kunielekeza nisome Qur’ani:
Hao pepo wabaya wa Waefeso 6:12 ni nani? Wanatoka wapi? Na Wakristo wanawatambuaje?
Usiniletee Qur’ani kama njia ya kukwepa kueleza Biblia yako mwenyewe. Mimi sijakuuliza Qur’ani inasemaje kuhusu Roho; nimekuuliza Biblia yako inasemaje kuhusu pepo wabaya.
Kutojua kila kitu kuhusu roho hakumaanishi kwamba hakuna kinachoweza kujulikana kuhusu viumbe wa rohoni. Na kama unataka kujadili Qur’ani, tuijadili kwa uaminifu na kwa muktadha wake, si kuitumia kama silaha ya kumdharau mtu.
Jibu hoja, usimshambulie mtu. Maana kusema “huwezi kuelewa kwa sababu ya kitabu chako” si ushahidi wa hoja yako; ni kukwepa swali uliloulizwa.
ShukranHaya hapa majina ya Sura zote 114 za Qur'ani Tukufu kwa Kiswahili pamoja na maana zake:
- Al-Fatiha – Ufunguzi
- Al-Baqarah – Ng'ombe Dume
- Al-Imran – Familia ya Imran
- An-Nisa – Wanawake
- Al-Ma'idah – Meza / Chakula
- Al-An'am – Wanyama wa Mifugo
- Al-A'raf – Mahali pa Juu
- Al-Anfal – Ngawira (Mali ya Vita)
- At-Tawbah – Toba
- Yunus – Nabii Yunus (Jona)
- Hud – Nabii Hud
- Yusuf – Nabii Yusuf (Yosefu)
- Ar-Ra'd – Radi
- Ibrahim – Nabii Ibrahim (Ibrahimu)
- Al-Hijr – Njia ya Mawe / Nchi ya Hijr
- An-Nahl – Nyuki
- Al-Isra – Safari ya Usiku
- Al-Kahf – Pango
- Maryam – Bikira Maryam (Mariamu)
- Taha – Ta-Ha
- Al-Anbiya – Manabii
- Al-Hajj – Hijja (Ibadah ya Hijja)
- Al-Mu'minun – Waumini
- An-Nur – Nur / Nuru
- Al-Furqan – Pambanuo (Kigezo cha Haki na Batili)
- Ash-Shu'ara – Washairi
- An-Naml – Chungu / Sisimizi
- Al-Qasas – Hadithi / Visa
- Al-Ankabut – Buibui
- Ar-Rum – Warumi
- Luqman – Luqman
- As-Sajdah – Kusujudu
- Al-Ahzab – Makundi ya Vita
- Saba – Watu wa Saba
- Fatir – Muumbaji
- Yasin – Ya-Sin
- As-Saffat – Waliopanga Safu
- Sad – Sad
- Az-Zumar – Makundi
- Ghafir – Mwenye Kusamehe
- Fussilat – Yaliyofafanuliwa
- Ash-Shura – Ushauri / Mashauriano
- Az-Zukhruf – Mapambo ya Dhahabu
- Ad-Dukhan – Moshi
- Al-Jathiyah – Waliopiga Magoti
- Al-Ahqaf – Vilima vya Mchanga
- Muhammad – Mtume Muhammad (S.A.W)
- Al-Fath – Ushindi
- Al-Hujurat – Vyumba vya Ndani
- Qaf – Qaf
- Adh-Dhariyat – Upepo Upepetao
- At-Tur – Mlima Tur
- An-Najm – Nyota
- Al-Qamar – Mwezi
- Ar-Rahman – Mwingi wa Rehema
- Al-Waqi'ah – Tukio Kubwa (Kiyama)
- Al-Hadid – Chuma
- Al-Mujadila – Mwanamke Mwenye Kujadiliana
- Al-Hashr – Mkusanyiko / Uhamisho
- Al-Mumtahanah – Mwanamke Anayejaribiwa
- As-Saff – Safu
- Al-Jumu'ah – Ijumaa
- Al-Munafiqun – Wafiki
- At-Taghabun – Siku ya Lugabuni (Kupoteza na Kupata)
- At-Talaq – Talaka
- At-Tahrim – Kulaani / Kukataza
- Al-Mulk – Ufalme
- Al-Qalam – Kalamu
- Al-Haqqah – Ukweli Usioepukika (Kiyama)
- Al-Ma'arij – Njia za Kupandia
- Nuh – Nabii Nuhu
- Al-Jinn – Majini
- Al-Muzzammil – Aliyejigubika Nguo
- Al-Muddaththir – Aliyefunikwa nguo
- Al-Qiyamah – Siku ya Kiyama
- Al-Insan – Mwanadamu
- Al-Mursalat – Malaika Waliotumwa
- An-Naba – Habari Kubwa
- An-Nazi'at – Malaika Wanaonyofoa
- Abasa – Alikunja Uso
- At-Takwir – Kukunjwa (Mwezi/Jua)
- Al-Infitar – Kupasuka
- Al-Mutaffifin – Wanaopunguza Vipimo
- Al-Inshiqaq – Kupasuka kwa Mbingu
- Al-Buruj – Nyota na Makundi Yake
- At-Tariq – Nyota Inayong'aa Usiku
- Al-A'la – Aliye Juu Zaidi
- Al-Ghashiyah – Tukio Linalofunika (Kiyama)
- Al-Fajr – Alfajiri
- Al-Balad – Mji
- Ash-Shams – Jua
- Al-Layl – Usiku
- Ad-Duha – Mchana wa Asubuhi
- Ash-Sharh – Kunjufu / Kufungua Kifua
- At-Tin – Tini (Tunda)
- Al-Alaq – Tone la Damu
- Al-Qadr – Usiku wa Cheo / Laylatul Qadr
- Al-Bayyinah – Ushahidi Wazi
- Az-Zalzalah – Tetemeko la Ardhi
- Al-Adiyat – Farasi Wanaokimbia
- Al-Qari'ah – Siku ya Vishindo
- At-Takathur – Kushindania Wingi wa Mali
- Al-Asr – Wakati / Zamani
- Al-Humazah – Msengenyi / Msingizi
- Al-Fil – Tembo
- Quraysh – Sura ya Maquraishi
- Al-Ma'un – Msaada Mdogo
- Al-Kawthar – Mto wa Kauthar / Wema Mwingi
- Al-Kafirun – Makafiri
- An-Nasr – Msaada wa Mwenyezi Mungu
- Al-Masad – Kamba ya Sufu
- Al-Ikhlas – Umoja wa Mungu (Ushuhuda wa Kweli)
- Al-Falaq – Mapambazuko
- An-Nas – Watu