Mzee baba siku pita katika club zao zinazoitwa MUJRA uone wanavyogombania kununua mauwa kwa ajili ya kuhonga mastripers. Uwa moja linafika hadi milioni. Na atayemvisha striper uwa la bei mbaya ndo anayeondoka naye. 😂Wahindi wa tz
Ishi maisha unayoweza okoa pesa mboga picha ya samaki au mnofu ulionona inatosha,yanini kuchungulia chungu cha mboga kwa jirani?Usiipangie matumizi pesa ambayo sio yako. Watu hawana hela
Wahaya ni namba 21. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Kosa la kwanza ambalo watu wanafanya, wanaipangia pesa yako matumizi wakati mwingine hata hujaipokeaUsiipangie matumizi pesa ambayo sio yako. Watu hawana hela
Watu wanajudge kwa muonekano wa nje kuwa pesa ipo ila hawajui uhalisia ulivyo.Kosa la kwanza ambalo watu wanafanya, wanaipangia pesa yako matumizi wakati mwingine hata hujaipokea
ni muhimu zaidi kujitosheleza kibinafsi kwanza kiuchumi.1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Pesa unayo ?Mimi sio sehemu ya makabila hayo, ila niki kupa pesa yangu ujue we malaika😃😂
Mimi ni raisi wa ma jobless pro max 😂Pesa unayo ?
Hakuna haja hiyo mkuu kwanza ni kujitesa.Ishi maisha unayoweza okoa pesa mboga picha ya samaki au mnofu ulionona inatosha,yanini kuchungulia chungu cha mboga kwa jirani?
Sasa hiyo pesa ya kuwapa watu unaitolea wapi.Mimi ni raisi wa ma jobless pro max 😂
Kuna mchongo nausikilizia😆Sasa hiyo pesa ya kuwapa watu unaitolea wapi.
Wambulu(wairaq) namba moja. Mgogo ukimwona bahili ujue hana pesa1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Wakinga sio wabahili kama wabena1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Na wanajibahilia hadi wao wenyewe. Mtu havai akapendeza, hali vizuri, hata anapoishi pa hovyo tu. Sasa sijui pesa wanatafuta za nini!!!Mpare akiwa ni msabato ndo inakuwa ubahili promax.
😂 dalali au sioKuna mchongo nausikilizia😆