Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Ndivyo unavyojidanganya hivi??
Kutulia ni hurka ya mtu wala sio kabila,ila kuna makabila ni too much.
Nenda kaoe mrangi kesha urudi hapa utuelezee.
Wapo walio nje ya kristo na wamepata utulivu,wacha kugandisha fuvu.
Machame kristo yupo kwa wingi ila HAKUNA UTULIVU HATA CHEMBE.
Machame ndiyo makao makuu ya Islamia Uchaggani!
 
Uko sahihi. Kama ndoa za kiislam, talaka ni kama kumtuma mtoto dukani. Hata wanawake wa hiyo dini huwa wanamchukulia waume zao kama watu baki ambao wanaweza kuwaacha muda wowote. Siyo kama kwenye ukristo hakuna talaka, lakini kuna nafuu.
Ndoa za kikristo ni za kipuuzi sana, wengi tunalazimishwa tu kuwa na mke mmoja na eti hakuna talaka, ndio maana wanawake wa kikristo ni jeuri mno
 
Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.

1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga

Sema la da kwa kuwa hayo ndio makabila makubwa yanayovuma labda yapo mengi e mengi tu hujayaweka hapo.
Matharani;
1. Wazaramo
2. Wapogoro
3. Wamakonde
4. Wamatumbi , Wayao na jamii ya kufanana nao.
N.k
 
Wanyaki nasikia mna kiukorofi hasa mkiolewa na makabila mengine lakini kwenye ndoa mnasifika sana kwa uvumilivu na uchapakazi. Kwa hiyo hii sredi haiwahusu hii!

Mkipenda mmependa, mkitulia mmetulia; na mkiamua kulianzisha mnalianzisha. Mpewe tu maua yenu aisee.

Shughuli pevu hasa iko hapa 👇👇👇. Sitakaa nisahau 🚮🚮🚮

View attachment 2956518
Hi Soulimeti 😆😆
 
Wapare waweke namba moja na kwa umalayer pia wanaongoza, wameru waondoe hapo dada zangu wametulia sana.
 
Mie nawajua warangi na kamwe sithubutu kuoa mrangi shurba yao naifaham maana niliwahi date nao na kuishi nao.
Mie nimeshaoa mmburu miksa mnyaturu katulia ndani.
Ila hawajaachiwa shombo ya muarabu ni bantu asilia wale.
Unaoa mmbulu miksa mnyaturu alafu unasema katulia? We itakua ni wa kuja wewe kaskazini yote inajua tabia ya wambulu na wanyaturu umeolea masela
 
Ukiona mwanamke anaondoka kisa umemsonya elewa aidha huna nguvu za kiume au maskini.

Japo la umaskini ni zaidi.
Mimi alijifanya kuondoka kwa hasira nikaenda funga mlango na dogo tukalala zetu. Kasepa kwa dada ake nikala zangu buyu, jioni huyo!
 
Back
Top Bottom