Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂 jobtrue trueYaaan unakaza kabisa mishipa ya ulimi na kubenua kamdomo unasonya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 jobtrue trueYaaan unakaza kabisa mishipa ya ulimi na kubenua kamdomo unasonya!!
Machame ndiyo makao makuu ya Islamia Uchaggani!Ndivyo unavyojidanganya hivi??
Kutulia ni hurka ya mtu wala sio kabila,ila kuna makabila ni too much.
Nenda kaoe mrangi kesha urudi hapa utuelezee.
Wapo walio nje ya kristo na wamepata utulivu,wacha kugandisha fuvu.
Machame kristo yupo kwa wingi ila HAKUNA UTULIVU HATA CHEMBE.
Aaaaah wapiiii.Machame ndiyo makao makuu ya Islamia Uchaggani!
Hawa ni wachaga isipokuwa mmoja mwenye viatu vyekunduHawa hua watu wa kabila gani??
View attachment 2956464
Ndoa za kikristo ni za kipuuzi sana, wengi tunalazimishwa tu kuwa na mke mmoja na eti hakuna talaka, ndio maana wanawake wa kikristo ni jeuri mnoUko sahihi. Kama ndoa za kiislam, talaka ni kama kumtuma mtoto dukani. Hata wanawake wa hiyo dini huwa wanamchukulia waume zao kama watu baki ambao wanaweza kuwaacha muda wowote. Siyo kama kwenye ukristo hakuna talaka, lakini kuna nafuu.
Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Hahahah
Hapo unaweza ukawa bize kupamp kumbe hata papuchi yenyewe hujaigusa badoHawa hua watu wa kabila gani??
View attachment 2956464
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo wanyakyusa tumekoswakoswa...daah[emoji3061]
Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Basi hao wa hivyo bila shaka watakuwa wa mchongo,na wenyekuwa wanachungulia maslahi yao na sii maisha ya familia😅Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Nimeangalia pia nikasema hivyo hivyo 😆😆Leo wanyakyusa tumekoswakoswa...daah🥴
Hi Soulimeti 😆😆Wanyaki nasikia mna kiukorofi hasa mkiolewa na makabila mengine lakini kwenye ndoa mnasifika sana kwa uvumilivu na uchapakazi. Kwa hiyo hii sredi haiwahusu hii!
Mkipenda mmependa, mkitulia mmetulia; na mkiamua kulianzisha mnalianzisha. Mpewe tu maua yenu aisee.
Shughuli pevu hasa iko hapa 👇👇👇. Sitakaa nisahau 🚮🚮🚮
View attachment 2956518
Kwa nini umsonye mwenzio? Na akuache eeeehMakabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Nambie soulimeti.Hi Soulimeti 😆😆
Unaoa mmbulu miksa mnyaturu alafu unasema katulia? We itakua ni wa kuja wewe kaskazini yote inajua tabia ya wambulu na wanyaturu umeolea maselaMie nawajua warangi na kamwe sithubutu kuoa mrangi shurba yao naifaham maana niliwahi date nao na kuishi nao.
Mie nimeshaoa mmburu miksa mnyaturu katulia ndani.
Ila hawajaachiwa shombo ya muarabu ni bantu asilia wale.
Mimi alijifanya kuondoka kwa hasira nikaenda funga mlango na dogo tukalala zetu. Kasepa kwa dada ake nikala zangu buyu, jioni huyo!Ukiona mwanamke anaondoka kisa umemsonya elewa aidha huna nguvu za kiume au maskini.
Japo la umaskini ni zaidi.