Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nami pia nipeni gharama ya kujenga nyumba mpaka kwenye linta tofali nishapiga ukubwa wa nyumba ni 13mmx15mm ya vyumba 4 eneo lilipo ni tanga mjini.
Hivi kujenga tu msingi inaweza kufika 7M kwa msingi peke yake....
Embu mwenye kujua mi nataka makadirio ya msingi tu nyumba kama iyo ya mtoa mada msingi utangia tofal ngapi za cement?
Millioni 5 - 7 inategemea na ardhi utayojenga.
Ardhi yangu ni nzuri sanaa na kiwanja kipo flat kabisaa sema naonaa ni tamaa naweza kukutafuta PM ukanipa fundi ambaye anaweza kunisaidia.....
Mbona ulinunua cement ghali sanaKweli mkuu,mimi nina nyumba yangu mchakato wake nilianza january mwaka huu...ina master moja,Bedroom tatu,sitting room,dining,kitchen,choo na bafu.Nimefyatua tofari za Block 4000 mimi mwenyewe....gharama yake nimekokotoa kwa kila tofari ni km 770....nilinunua cement kwa 19500 kwa mfuko.Hii ni phase one...so next month nategemea ujenzi uanze mwanzo mpala mwisho maana nimebakiza Nondo tu...na kokoto...Kupaua bado sana bajeti sijaiweka
Huwa sijibu pm
↑Millioni 15 - 20
Millioni 15 - 20
Haina tatizo ila nashukuru pia kwa msaada wako maana tatizo ambalo nilipata ni kutokuelewa na fundi bei mapema sasa hivi nimeshaweka vitu kwenye kiwanja na material yote now amenipiga bei za ajabu......
Makadirio ni sawa, sema dimensions za nyumba sio 13mm by 15mm bali ni 13m by 15mMakadirio ni hayohayo ya 15-20 m
Yaani 13mm x 15mm iyo ni Nyumba au kiberiti kwa milioni 15??
Makadirio ni sawa, sema dimensions za nyumba sio 13mm by 15mm bali ni 13m by 15m
We unasimuliwa au ulikuwa unawatumia wahuni ela wanapiga msingi huchukua matofali 1500 mpaka 2000 ambazo ni mil 1.5 mpaka m 2 na ela ya fund ikizid sana mil 3.5 jumlay msingiHivi kujenga tu msingi inaweza kufika 7M kwa msingi peke yake....
We unasimuliwa au ulikuwa unawatumia wahuni ela wanapiga msingi huchukua matofali 1500 mpaka 2000 ambazo ni mil 1.5 mpaka m 2 na ela ya fund ikizid sana mil 3.5 jumlay msingi
Gharama za ufundi hazizidi 2m kwa msingi wa kozi 6. Kuanzia kuchimba msingi, zege la chini, tofari kozi tatu chini ya ardhi kozi 3 au 4 juu mpaka zege la kiuno.