Makadirio ya Gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu 3

Makadirio ya Gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu 3

Hivi kujenga tu msingi inaweza kufika 7M kwa msingi peke yake....
 
nami pia nipeni gharama ya kujenga nyumba mpaka kwenye linta tofali nishapiga ukubwa wa nyumba ni 13mmx15mm ya vyumba 4 eneo lilipo ni tanga mjini.

Millioni 15 - 20
 
Millioni 5 - 7 inategemea na ardhi utayojenga.

Ardhi yangu ni nzuri sanaa na kiwanja kipo flat kabisaa sema naonaa ni tamaa naweza kukutafuta PM ukanipa fundi ambaye anaweza kunisaidia.....
 
Kweli mkuu,mimi nina nyumba yangu mchakato wake nilianza january mwaka huu...ina master moja,Bedroom tatu,sitting room,dining,kitchen,choo na bafu.Nimefyatua tofari za Block 4000 mimi mwenyewe....gharama yake nimekokotoa kwa kila tofari ni km 770....nilinunua cement kwa 19500 kwa mfuko.Hii ni phase one...so next month nategemea ujenzi uanze mwanzo mpala mwisho maana nimebakiza Nondo tu...na kokoto...Kupaua bado sana bajeti sijaiweka
Mbona ulinunua cement ghali sana
 
Huwa sijibu pm

Haina tatizo ila nashukuru pia kwa msaada wako maana tatizo ambalo nilipata ni kutokuelewa na fundi bei mapema sasa hivi nimeshaweka vitu kwenye kiwanja na material yote now amenipiga bei za ajabu......
 
nami pia nipeni gharama ya kujenga nyumba mpaka kwenye linta tofali nishapiga ukubwa wa nyumba ni 13mmx15mm ya vyumba 4 eneo lilipo ni tanga mjini.

Millioni 15 - 20

Sio 13mmx15mm, ni 13m by 15m

Makadirio ni hayohayo ya 15-20 m
 
Haina tatizo ila nashukuru pia kwa msaada wako maana tatizo ambalo nilipata ni kutokuelewa na fundi bei mapema sasa hivi nimeshaweka vitu kwenye kiwanja na material yote now amenipiga bei za ajabu......

Gharama za ufundi hazizidi 2m kwa msingi wa kozi 6. Kuanzia kuchimba msingi, zege la chini, tofari kozi tatu chini ya ardhi kozi 3 au 4 juu mpaka zege la kiuno.
 
Hivi kujenga tu msingi inaweza kufika 7M kwa msingi peke yake....
We unasimuliwa au ulikuwa unawatumia wahuni ela wanapiga msingi huchukua matofali 1500 mpaka 2000 ambazo ni mil 1.5 mpaka m 2 na ela ya fund ikizid sana mil 3.5 jumlay msingi
 
Hizo nyumba gani mnaongelea? Yangu ina vyumba 4 imenigharimu takribani sh 120m hadi finishing. Msingi hadi lenta ilinigharimu takribani sh 20m.
 
Gharama za ufundi hazizidi 2m kwa msingi wa kozi 6. Kuanzia kuchimba msingi, zege la chini, tofari kozi tatu chini ya ardhi kozi 3 au 4 juu mpaka zege la kiuno.

Sawa sawa nashukuru sana tena sanaa na mwenyezi mungu azidi kukupa upendo na fikra za kuweza kusaidia ambao wamekwama kama mimi asante sana....itabidi nikae nae niongee nae sasa maana alivyoniambia sikumjibu kitu....
 
Back
Top Bottom