Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China

Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China

Humo USA hakuna wataalam wa kuliona Hilo mapema?

Haya mambo hata na Urusi wamefanya hivi hivi kuhusu nishati na nafaka,,Leo wanalia
Wanasiasa wanaforce mambo mwisho wa siku yanaumiza taifa lao.

Wafanyabiashara wanawaaangalia tu

Juzi tu hapo Elon Musk, Bill Gate nA CEOs wengine wa makampuni makubwa ya Marekani walikuwa na ziara China na ajenda zao ni kuimarisha ushirikiano wa kibiashara

Hii inaonyesha hawaungi sera ya taifa lao kuhusu vikwazo kwa China na sera ya decoupling na derisking
 
Ndio maana sikuzote Xi Jinping ameitaka Marekani kuwe na ushirikiano wa win win situation kati ya mataifa hayo makubwa kiuchumi
Unazungumzia Win Win na wakati China imezuia makampuni Kama wastaap, Facebook, Instagram na mengineyo. Iyo Win Win inakuja pale china, akipigwa pin kidogo
 
Unazungumzia Win Win na wakati China imezuia makampuni Kama wastaap, Facebook, Instagram na mengineyo. Iyo Win Win inakuja pale china, akipigwa pin kifogo
Sahih lkn sio "kifogo"
 
Wanapoteza muda wao kwa ilipofikia China wanahitaji tu ni kuimarisha bilateral cooperation kati yao

Afu kuna wapuuzi wanachukulia china kama tecno [emoji23][emoji23]manina jamaa ndio anazid kupaa afu hana hata mabifu ya ovyo ovyo.
Wala hana mambo ya kuingilia nchi za watu na democracy za watu ila bdo watu wanaichukia cjui USA inawapa nn hawa nyumbu wanayoifagilia utazan baba yao
 
Sera ya China ni tufanye biashara huwa hawadeal na internal affairs za trade partners wake. Hii inapelekea China kukubalika na mataifa mengi na kuiheshimisha
 
Ulivyokosa akili unahisi kuimarika kwa uchumi wa China kunasaidia serikali yako ya ccm iwe na utawala bora ?

Hivi waafrika akili mlipeleka wapi ?
 
17 July 2023,
Washington

View attachment 2691456

Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya Marekani kuwekeza katika uzalishaji wa chips nchini China.

Viongozi wakuu wa makampuni hayo wameutaka uongozi wa Biden kuiondolea vikwazo China kwa sababu China ndilo soko kuu la semiconductors duniani.

Viongozi wakuu wa makampuni makubwa ya Marekani ya kutengeneza chips ya Intel Inc, Qualcomm na Nvidia wamekutana leo Washington na maafisa wa biashara, uchumi na ulinzi wa serikali ya Marekani ili kuzungumzia athari wanazopata kutokana na sera ya Marekani kwa China dhidi ya kuiuzia chips.

Hizi ni sababu kuu mbili za viongozi wakuu wa makampuni hayo kutaka serikali ya Marekani kuondoa vikwazo kwa China;

(1)Kushuka kwa mauzo ya semiconductors kadiri Washington inavyozidi kuiwekea Beijing vikwazo. Hivyo wanashindwa kuelewa hatma ya biashara hiyo.

(2)China kuweka vikwazo vya kuiuzia Marekani madini ya gallium na germanium ambayo ni muhimu sana katika utengenezaji wa semiconductors
.

Baada ya kutathmini changamoto hizo viongozi wakuu wa kampuni hizo kubwa za utengenezaji wa chips kwa pamoja wameutaka uongozi wa Biden kuondoa vikwazo kwa China.

"National security" huchukua kiti cha mbele kwenye jambo lolote lile na sio "biashara" kama mnavyojichatisha hapa!

Thats the "law"!
 
Sera ya China ni tufanye biashara huwa hawadeal na internal affairs za trade partners wake. Hii inapelekea China kukubalika na mataifa mengi na kuiheshimisha
Si kweli

Wakiwa namba moja,hakuna taifa litazungumza kitu,wata brutalize anything on their face!

In China and chinese will be executed on broad day light serikali ikikasirika,just imagine wewe maandazi mtu wa huku mavumbuni watakufanyaje?

I dont trust their political system!

I trust democracy hii hii tunayopambana nayo kila siku pamoja na mapungufu yake!
 
"National security" huchukua kiti cha mbele kwenye jambo lolote lile na sio "biashara" kama mnavyojichatisha hapa!

Thats the "law"!
Ni kweli

Unafikiri sababu kubwa ya serikali ya Marekani kuzuia makampuni yake yasiiuzie China chips nini hasa?
 
Si kweli

Wakiwa namba moja,hakuna taifa litazungumza kitu,wata brutalize anything on their face!

In China and chinese will be executed on broad day light serikali ikikasirika,just imagine wewe maandazi mtu wa huku mavumbuni watakufanyaje?

I dont trust their political system!

I trust democracy hii hii tunayopambana nayo kila siku pamoja na mapungufu yake!
Kwa hiyo wewe unapenda mataifa ambayo yanaingilia sovereignty yenu halafu nyie hamwezi kuhoji kuhusu sovereignty yao

Hizo ni akili za kitumwa
 
NIlikuwa nawaambia watu humu kuwa wafanyabiashara wa Marekani hawapendezwi na sera za nchi yao za kibishara dhidi ya China ukizingatiaChina ni soko kubwa sana duniani
Lkn umeelewa kinachoendelea , je wafanya biashara wa China wanaeza ikosoa serikali yao wakabaki salaman? Ndo kuna pepo na kuzimu
 
Naona matusi mengi ila nasikitika sijaona hoja yoyote ya msingi.

Inasikitisha sana
Unaongea kumtoa Marekani halafu umuweke Mchina

Then hapo ndio ume-solve nini?

Wote ni maharamia,yupi mwenye afadhali?Obviously ni USA sababu ya political idealogy yao inafanana na yetu ya democracy!

Authotritanism ni alien kwetu,Magufuli tested it for 5 years kila mwananchi alitaka kuhama nchi!

Thats what I meant in my "looooong post"....!

Hujaelewa bado!
 
Ni kweli

Unafikiri sababu kubwa ya serikali ya Marekani kuzuia makampuni yake yasiiuzie China chips nini hasa?
Sababu ni national security!

China akipata hizo advanced chips atajenga weapons zenye capability sawa na USA,which is a threat to USA!

Wewe ulitaka nini hasa?
 
Back
Top Bottom