zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Unaongea kumtoa Marekani halafu umuweke Mchina
Then hapo ndio ume-solve nini?
Wote ni maharamia,yupi mwenye afadhali?Obviously ni USA sababu ya political idealogy yao inafanana na yetu ya democracy!
Authotritanism ni alien kwetu,Magufuli tested it for 5 years kila mwananchi alitaka kuhama nchi!
Thats what I meant in my "looooong post"....!
Hujaelewa bado!
Kiongozi wa africa akikataa matakwa ya us anapewa vikwazo au kufanyiwa figisu nchi ichafuke
Muda mwingine mpka wanaua viongozi wanaowapinga (gadafi)
Niambie mchina mambo ayo anafanya??