Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Si kweliNilieishia la pili B nalazimika kula buyu
Hujaishia la pili B
Mtu anaeweza kufungua page JF ni most likely amesoma mpaka Chuo Kikuu
Unachokisema hapa,unadanganya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweliNilieishia la pili B nalazimika kula buyu
Strong countries ni lazima kunyonya weaker countries
Tatizo ni nyie kudhani China ni malaika
They are the same and copy of the other,hakuna mwenye afadhali,ni slave masters wale wale
Binafsi nakubaliana na USA kuua madikteta yote,hayana maana mbwa hao....
Hakuna rais sahihi anaesimamia nchi yake kidemokrasia akaletewa tatizo na yeyote,madikteta na mashenzi of the same ndio yauawe yote,Magufuli inclusive!
Upo hapa unatetea madikteta kama Gadafi,fvck him!
USA na China wote wanyonyaji watupu,washenzi watupu....kukaa hapa na kuanza kusema ni bora utawaliwe na CHina ni yale yale unaleta hujatoa solution
Strong countries ni lazima kunyonya weaker countries
Tatizo ni nyie kudhani China ni malaika
They are the same and copy of the other,hakuna mwenye afadhali,ni slave masters wale wale
Binafsi nakubaliana na USA kuua madikteta yote,hayana maana mbwa hao....
Hakuna rais sahihi anaesimamia nchi yake kidemokrasia akaletewa tatizo na yeyote,madikteta na mashenzi of the same ndio yauawe yote,Magufuli inclusive!
Upo hapa unatetea madikteta kama Gadafi,fvck him!
USA na China wote wanyonyaji watupu,washenzi watupu....kukaa hapa na kuanza kusema ni bora utawaliwe na CHina ni yale yale unaleta hujatoa solution
Nashukuru kwa kunipa hadhi kubwaSi kweli
Hujaishia la pili B
Mtu anaeweza kufungua page JF ni most likely amesoma mpaka Chuo Kikuu
Unachokisema hapa,unadanganya!
U are rightPunguza pumba [emoji706][emoji706]
Sadam sio dictator?Nilijua una point kumbe we hamnazo..sadam c pia walisema ni dictator na silaha za nuclear anazo...baada ya kumuua na hakuna silaha waliokuta.
Mwisho wa cku bush anakuja kuomba msamaha wtf...asa nimakosa mangapi wamefanya na wako kimya hao mabwana zako
Tatizo una akili za kishoga ndio maana unawapaptikia
Naona matusi mengi ila nasikitika sijaona hoja yoyote ya msingi.
Inasikitisha sana
Kiongozi wa africa akikataa matakwa ya us anapewa vikwazo au kufanyiwa figisu nchi ichafuke
Muda mwingine mpka wanaua viongozi wanaowapinga (gadafi)
Niambie mchina mambo ayo anafanya??
Sio rahisi kama, unavyofikiriNa Mchina anazidi kuwekeza billions of dollars kwenye R&D ya kuzalisha chips apunguze utegemezi wa US-based chips
SahihiHivi ni nani walioanzisha vuguvugu la kumpinga gadafi pale libya?
Halafu uingiliaji wa nato ulipitishwa na UN Urusi Na china wakiwemo mle ndani. Unadhani ni kwa nini hawaku VETO yale maamuzi ili jamaa wasiingie kama ambavyo hufanya kwenye maamuzi ambayo yameegemea west?
Wakapikie chips ..kiburi cha usa na baada ya miaka 5 jayo China ndo atakuwa mazalishaji wa kwanza kwenye semiconductor industry17 July 2023,
Washington
View attachment 2691456
Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya Marekani kuwekeza katika uzalishaji wa chips nchini China.
Viongozi wakuu wa makampuni hayo wameutaka uongozi wa Biden kuiondolea vikwazo China kwa sababu China ndilo soko kuu la semiconductors duniani.
Viongozi wakuu wa makampuni makubwa ya Marekani ya kutengeneza chips ya Intel Inc, Qualcomm na Nvidia wamekutana leo Washington na maafisa wa biashara, uchumi na ulinzi wa serikali ya Marekani ili kuzungumzia athari wanazopata kutokana na sera ya Marekani kwa China dhidi ya kuiuzia chips.
Hizi ni sababu kuu mbili za viongozi wakuu wa makampuni hayo kutaka serikali ya Marekani kuondoa vikwazo kwa China;
(1)Kushuka kwa mauzo ya semiconductors kadiri Washington inavyozidi kuiwekea Beijing vikwazo. Hivyo wanashindwa kuelewa hatma ya biashara hiyo.
(2)China kuweka vikwazo vya kuiuzia Marekani madini ya gallium na germanium ambayo ni muhimu sana katika utengenezaji wa semiconductors.
Baada ya kutathmini changamoto hizo viongozi wakuu wa kampuni hizo kubwa za utengenezaji wa chips kwa pamoja wameutaka uongozi wa Biden kuondoa vikwazo kwa China.
Asante kwa maoni yakoSio rahisi kama, unavyofikiri
Umesema vyemaWakapikie chips ..kiburi cha usa na baada ya miaka 5 jayo China ndo atakuwa mazalishaji wa kwanza kwenye semiconductor industry