Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
- Thread starter
-
- #41
Hahaa Wachina wameweka mzigo wa kutosha kwenye innovation na R&D katika teknolojia ya kutengeneza chipsNa baada ya miaka 5 .China atakitosheleza kwa chip. Hizo za marekenai watakaangia mayai chips
[emoji630]
Sana mpaka mabosi wakubwa wa viwanda vya kutengeneza chips waende Washington kuteta na serikali kweli Biden alikurupukaWalikurupuka.
Wanasiasa wanaforce mambo mwisho wa siku yanaumiza taifa lao.Humo USA hakuna wataalam wa kuliona Hilo mapema?
Haya mambo hata na Urusi wamefanya hivi hivi kuhusu nishati na nafaka,,Leo wanalia
Wanapoteza muda wao kwa ilipofikia China wanahitaji tu ni kuimarisha bilateral cooperation kati yaoDaah!! Kumbe China inahitajika Sana na marekani sikujua hili, wote wanahitajiana sasa sijui marekani wataidhibiti vipi China kiuchumi
Hatari sanaWatatambuaje wakati akali zao zilishatoka na marinda?
Unazungumzia Win Win na wakati China imezuia makampuni Kama wastaap, Facebook, Instagram na mengineyo. Iyo Win Win inakuja pale china, akipigwa pin kidogoNdio maana sikuzote Xi Jinping ameitaka Marekani kuwe na ushirikiano wa win win situation kati ya mataifa hayo makubwa kiuchumi
Sahih lkn sio "kifogo"Unazungumzia Win Win na wakati China imezuia makampuni Kama wastaap, Facebook, Instagram na mengineyo. Iyo Win Win inakuja pale china, akipigwa pin kifogo
Wanapoteza muda wao kwa ilipofikia China wanahitaji tu ni kuimarisha bilateral cooperation kati yao
Sera ya China ni tufanye biashara huwa hawadeal na internal affairs za trade partners wake. Hii inapelekea China kukubalika na mataifa mengi na kuiheshimishaAfu kuna wapuuzi wanachukulia china kama tecno [emoji23][emoji23]manina jamaa ndio anazid kupaa afu hana hata mabifu ya ovyo ovyo.
Wala hana mambo ya kuingilia nchi za watu na democracy za watu ila bdo watu wanaichukia cjui USA inawapa nn hawa nyumbu wanayoifagilia utazan baba yao
Ulivyokosa akili unahisi kuimarika kwa uchumi wa China kunasaidia serikali yako ya ccm iwe na utawala bora ?Afu kuna wapuuzi wanachukulia china kama tecno [emoji23][emoji23]manina jamaa ndio anazid kupaa afu hana hata mabifu ya ovyo ovyo.
Wala hana mambo ya kuingilia nchi za watu na democracy za watu ila bdo watu wanaichukia cjui USA inawapa nn hawa nyumbu wanayoifagilia utazan baba yao
"National security" huchukua kiti cha mbele kwenye jambo lolote lile na sio "biashara" kama mnavyojichatisha hapa!17 July 2023,
Washington
View attachment 2691456
Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya Marekani kuwekeza katika uzalishaji wa chips nchini China.
Viongozi wakuu wa makampuni hayo wameutaka uongozi wa Biden kuiondolea vikwazo China kwa sababu China ndilo soko kuu la semiconductors duniani.
Viongozi wakuu wa makampuni makubwa ya Marekani ya kutengeneza chips ya Intel Inc, Qualcomm na Nvidia wamekutana leo Washington na maafisa wa biashara, uchumi na ulinzi wa serikali ya Marekani ili kuzungumzia athari wanazopata kutokana na sera ya Marekani kwa China dhidi ya kuiuzia chips.
Hizi ni sababu kuu mbili za viongozi wakuu wa makampuni hayo kutaka serikali ya Marekani kuondoa vikwazo kwa China;
(1)Kushuka kwa mauzo ya semiconductors kadiri Washington inavyozidi kuiwekea Beijing vikwazo. Hivyo wanashindwa kuelewa hatma ya biashara hiyo.
(2)China kuweka vikwazo vya kuiuzia Marekani madini ya gallium na germanium ambayo ni muhimu sana katika utengenezaji wa semiconductors.
Baada ya kutathmini changamoto hizo viongozi wakuu wa kampuni hizo kubwa za utengenezaji wa chips kwa pamoja wameutaka uongozi wa Biden kuondoa vikwazo kwa China.
Si kweliSera ya China ni tufanye biashara huwa hawadeal na internal affairs za trade partners wake. Hii inapelekea China kukubalika na mataifa mengi na kuiheshimisha
Ni kweli"National security" huchukua kiti cha mbele kwenye jambo lolote lile na sio "biashara" kama mnavyojichatisha hapa!
Thats the "law"!
Kwa hiyo wewe unapenda mataifa ambayo yanaingilia sovereignty yenu halafu nyie hamwezi kuhoji kuhusu sovereignty yaoSi kweli
Wakiwa namba moja,hakuna taifa litazungumza kitu,wata brutalize anything on their face!
In China and chinese will be executed on broad day light serikali ikikasirika,just imagine wewe maandazi mtu wa huku mavumbuni watakufanyaje?
I dont trust their political system!
I trust democracy hii hii tunayopambana nayo kila siku pamoja na mapungufu yake!
Lkn umeelewa kinachoendelea , je wafanya biashara wa China wanaeza ikosoa serikali yao wakabaki salaman? Ndo kuna pepo na kuzimuNIlikuwa nawaambia watu humu kuwa wafanyabiashara wa Marekani hawapendezwi na sera za nchi yao za kibishara dhidi ya China ukizingatiaChina ni soko kubwa sana duniani
Ulivyokosa akili unahisi kuimarika kwa uchumi wa China kunasaidia serikali yako ya ccm iwe na utawala bora ?
Hivi waafrika akili mlipeleka wapi ?
Unaongea kumtoa Marekani halafu umuweke MchinaNaona matusi mengi ila nasikitika sijaona hoja yoyote ya msingi.
Inasikitisha sana
Sababu ni national security!Ni kweli
Unafikiri sababu kubwa ya serikali ya Marekani kuzuia makampuni yake yasiiuzie China chips nini hasa?