Unaongea kumtoa Marekani halafu umuweke Mchina
Then hapo ndio ume-solve nini?
Wote ni maharamia,yupi mwenye afadhali?Obviously ni USA sababu ya political idealogy yao inafanana na yetu ya democracy!
Authotritanism ni alien kwetu,Magufuli tested it for 5 years kila mwananchi alitaka kuhama nchi!
Thats what I meant in my "looooong post"....!
Hujaelewa bado!
China hana hata mpango wa kuingilia hiyo Democracy yako wala hataki mataifa mengine yafuate mfumo wake wa utawalaUnaongea kumtoa Marekani halafu umuweke Mchina
Then hapo ndio ume-solve nini?
Wote ni maharamia,yupi mwenye afadhali?Obviously ni USA sababu ya political idealogy yao inafanana na yetu ya democracy!
Authotritanism ni alien kwetu,Magufuli tested it for 5 years kila mwananchi alitaka kuhama nchi!
Thats what I meant in my "looooong post"....!
Hujaelewa bado!
Zamani kabla ya Biden maraisi wa Marekani waliopita hawakujua hili kuwa China inaweza kuzitumia kutegenezea advanced weapons?Sababu ni national security!
China akipata hizo advanced chips atajenga weapons zenye capability sawa na USA,which is a threat to USA!
Wewe ulitaka nini hasa?
Nonameter 15 sijui n7 zinasaidia nini?Zamani kabla ya Biden maraisi wa Marekani waliopita hawakujua hili kuwa China inaweza kuzitumia kutegenezea advanced weapons?
Strong countries ni lazima kunyonya weaker countriesKiongozi wa africa akikataa matakwa ya us anapewa vikwazo au kufanyiwa figisu nchi ichafuke
Muda mwingine mpka wanaua viongozi wanaowapinga (gadafi)
Niambie mchina mambo ayo anafanya??
Tatizo lako unakurupuka sana haujajibu swali languNonameter 15 sijui n7 zinasaidia nini?
Ulishasoma Physics kweli?
Nanometer 3 kwenda chini ndio kuna shida ,hapo US ndio anaingia ku make sure no one is heading him out!
Nchi za Magharibi zimejificha kwenye kivuli cha demokrasia lakini ndio mataifa ya ovyo sanaSi kweli
Wakiwa namba moja,hakuna taifa litazungumza kitu,wata brutalize anything on their face!
In China and chinese will be executed on broad day light serikali ikikasirika,just imagine wewe maandazi mtu wa huku mavumbuni watakufanyaje?
I dont trust their political system!
I trust democracy hii hii tunayopambana nayo kila siku pamoja na mapungufu yake!
Mwanamchi gani alitamani kuhama nchi mnapenda kunakshi uongo wenu mkikaa kwenye vijiwe vyenu vya kupakaa kuchaUnaongea kumtoa Marekani halafu umuweke Mchina
Then hapo ndio ume-solve nini?
Wote ni maharamia,yupi mwenye afadhali?Obviously ni USA sababu ya political idealogy yao inafanana na yetu ya democracy!
Authotritanism ni alien kwetu,Magufuli tested it for 5 years kila mwananchi alitaka kuhama nchi!
Thats what I meant in my "looooong post"....!
Hujaelewa bado!
Acha unafiki basiMwanamchi gani alitamani kuhama nchi mnapenda kunakshi uongo wenu mkikaa kwenye vijiwe vyenu vya kupakaa kucha
Vita wanafanya wote tuNchi za Magharibi zimejificha kwenye kivuli cha demokrasia lakini ndio mataifa ya ovyo sana
Miongo kadhaa iliyopita zikiongozwa na Marekani walizivamia kijeshi Afghanstan, Iraq na Libya lakini leo jiulize hizo nchi wamezoacha katika hali gani?
Ndio kwanza wamesababisha machafuko zaidi. Silaha zimetapakaa uhalifu umeongezeka na vikundi vya waasi vimeanzishwa na mauaji
Kuna taifa gani soverignity yake ipo chini ya Marekani?SI KWELI
Hata hayo mataifa yalishapinga hizo habari China haijawahi kufanya mambo kama hayo kwa mataifa mengine
Sri Lanka bado ni sovereign state haiko chini ya China
Kwa nini unapenda kutumia matusi mkuu?
I dont trust their political system!
I trust democracy hii hii tunayopambana nayo kila siku pamoja na mapungufu yake!
Political system zote zina shida ila DEMOCRACY ni far more superior than the rest!Political System zote zina shida boss no matter upo upande gan bt kuingilia internal affairs za nchi za wenzako ni far worse
I dont trust their political system!
Unaongea sahihiTajir... China na Marekani zina utofauti kweny mambo mengi sana, Kuanzia social norms, administrative policies, Economic reforms na vastest difference katika political ideology zao... Tunajua mmoja ni Democratic na yet ni Capitalist na huyo mwengine ni Communist, Hapo political ideology zote zina mazuri yake and vice versa.
Tukija kwenye ni ipi Political ideology nzuri kwanza kabisa tutaangalia Je System hiyo inafanya kazi vizuri kwa wananchi na utawala kwa ujumla kwa kuleta matokeo chanya? Hapa ni lazima uangalie na nature ya watu wa eneo husika ... Kila Political ideology ina Loopholes
Political system zote ni hovyo ila tunaangalia yenye afadhali...na yenye afadhali by far ni DEMOCRACY!Political System zote zina shida boss no matter upo upande gan bt kuingilia internal affairs za nchi za wenzako ni far worse
Boss tukingumzia Democracy kwa uelewa wako imebeba maana ipi?Political system zote ni hovyo ila tunaangalia yenye afadhali...na yenye afadhali by far ni DEMOCRACY!
This is a FACT,just google up,na ulisoma shule vizuri!
Kuingilia nchi zingine,I mean "meddling" ni mambo ya kawaida nchi zote zinaingiliana na kufanyiana espionage kwenye mambo mbali mbali
Hiyo ni fair game
Sijaelewa kwenye kuingilia nchi ingine kuna nchi gani dunia hii haifanya "espionage"....taja hiyo nchi tuone!
Labda nchi isiyo na ubalozi nchi yeyote,nchi isiyo na usalama wa taifa popote,nchi isiyo na jesho lolote...labda ndio haifanyi espionage
Labda uniambie North Korea,ila nao washafanya espionage sana South Korea na kuua ndugu wa Kim aliekimbilia huko baada ya kukorofishana nae!
Ni fair game tu,hakuna cha afadhali,nchi zote ni as guilty as charged!
MkuuBoss tukingumzia Democracy kwa uelewa wako imebeba maana ipi?
Nilieishia la pili B nalazimika kula buyuMkuu
Tumefikia maswali ya kinafiki hivi,REALLY?
Tumesoma Civics na topics za Democracy Form1,Form2,Form3 na Form4...
Mtihani wa Form 4 Civis tulifanya swali la Democracy na A ukapata
Ukaenda Advance,Form5 na Form6 umesoma GS,topics za Democracy ulisoma na ukafanya Necta yake
Umeende Chuo Kikuu cha DSM,mwaka wa kwanza umesoma DS umesoma topics za Democracy semester zote mbili na soma ukafaulu
Ndugu,punguza unafiki
Eti leo watu wazima tupo humu tunaulizana nini maana ya "Democracy",acha kunitukana wazi wazi namna hii!
Please!