Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China


Punguza pumba [emoji706][emoji706]
 

Nilijua una point kumbe we hamnazo..sadam c pia walisema ni dictator na silaha za nuclear anazo...baada ya kumuua na hakuna silaha waliokuta.
Mwisho wa cku bush anakuja kuomba msamaha wtf...asa nimakosa mangapi wamefanya na wako kimya hao mabwana zako
Tatizo una akili za kishoga ndio maana unawapaptikia
 
Si kweli

Hujaishia la pili B

Mtu anaeweza kufungua page JF ni most likely amesoma mpaka Chuo Kikuu

Unachokisema hapa,unadanganya!
Nashukuru kwa kunipa hadhi kubwa


Akaunt ya jf na nyinginezo nilifungua kwa usaidiz kutoka kwa aliyeniuzia sim
 
Sadam sio dictator?

Nigga are you outta your mind?

Saddam Hussein sio DICTATOR?

Like really?

Unajua definition ya dictator kweli mzee au upo hapa unaharisha tu?

Vita yeyote iwe halali au isiwe halali by morality zote ni vita na sio halali

USA alikuta weapons of mass ditruction au hakukuta,regardless ni vita na wanadamu walikufa pande zote

Hakuna sababu yeyote duniani inayojusfy vita ya aina yeyote...

USA wangekua na sababu au wasiwe nayo,napinga vita za aina yeyote kwa mwanadamu yeyote

Again,ujue wewe ndio shoga,tupo hapa tunadiscuss vitu tofauti kabisa ila wewe akili yako inawaza mavi ya matakoni

Please do not push your gay thinking on others,thats on you!
 
Naona matusi mengi ila nasikitika sijaona hoja yoyote ya msingi.

Inasikitisha sana

tukiondoa haya matusi ya jamaa hapa, jamaa ana point. Shida ni sisi huku tunashabikia haya mataifa kama simba na yanga yaani unaangalia mazuri tu kwa upande unaoshabikia na mabaya huyaoni.

hauwezi ukaichukia marekani kwa kuamini kuwa utakuwa salama kwenye mikono ya china kwa kusema itakuwa haingilii mambo ya ndani. Hizi nazo ni akili za kitumwa. Wote ni wapiga dili tu.
 
Kiongozi wa africa akikataa matakwa ya us anapewa vikwazo au kufanyiwa figisu nchi ichafuke
Muda mwingine mpka wanaua viongozi wanaowapinga (gadafi)
Niambie mchina mambo ayo anafanya??

Hivi ni nani walioanzisha vuguvugu la kumpinga gadafi pale libya?

Halafu uingiliaji wa nato ulipitishwa na UN Urusi Na china wakiwemo mle ndani. Unadhani ni kwa nini hawaku VETO yale maamuzi ili jamaa wasiingie kama ambavyo hufanya kwenye maamuzi ambayo yameegemea west?
 
Sahihi
 
Wakapikie chips ..kiburi cha usa na baada ya miaka 5 jayo China ndo atakuwa mazalishaji wa kwanza kwenye semiconductor industry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…