Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Watarekebisha tuu si Raisi nae linamkera,ndo maana kalizungumzia na boss wa eneo husika kazinguliwa maana alizingua😴😴😴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa........!View attachment 1745611Nimeiona mahala.
so far wanao mhujumu Rais wetu Mpendwa ni :Habari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?
Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
Vodacom mbona wamerudisha toka juziHabari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?
Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
Hawa jamaa sijui yanii yanii wanatesa Sana kila mtu analalamika yaniBila shaka kuna wenye hisa zao huko na ndio viongozi wetu,mama anatakiwa kua mkali sana,kuna majizi yameanza kuonekana mapema mno,yaani voda na tigo wanatesa sana watanzania
Una uhakika au Wewe ni mfanyakazi wa vida?Vodacom mbona wamerudisha toka juzi
Mkuu namba 1 itakuwa ulimaanisha Hassan Abbas katibu wa Wizara na sio Gerson Msigwa.so far wanao mhujumu Rais wetu Mpendwa ni :
1. Geron Msigwa -kwa kukataa kufungulia magazeti....
Itakua kwa baadhi ya subscribers tu wengine bado maumivu tu.Vodacom mbona wamerudisha toka juzi
Vodacom wana kiburi kwakuwa mfadhili wao mkuu ni serikali. Viongozi wote wa serikali na taasisi zake wanazo line za Vodacom, kila mwezi wanapewa vifurushi vya kutisha ambavyo hata wangetumia vipi hawawezi kuvimaliza ndani ya mwezi.Habari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?
Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
DuhVodacom wana kiburi kwakuwa mfadhili wao mkuu ni serikali. Viongozi wote wa serikali na taasisi zake wanazo line za Vodacom, kila mwezi wanapewa vifurushi vya kutisha ambavyo hata wangetumia vipi hawawezi kuvimaliza ndani ya mwezi.
Hela wanayovuna Vodacom serikalini hata hawatuhitaji tena tunaotaka tutumie kifurushi cha sh 2,000 kwa wiki.